mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,781
- 6,481
Sa hio ni part ya 92% slum city?Bunju, Boko,Madale, Goba,Mbweni,Tegeta, masaiti,ununio,kunduchi beach, salasala ,mbezi beach,Mikocheni, Kijitonyama, kindondoni B,oysterbay, Masaki ,bahari beach hii pekee ni kinondoni district na hakuna even a place kumekaa hovyo ata moja..