Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama una akili hii ina maana gani kwenye google?

View attachment 489302
But you guys have many slums
b5118011b88bda1d27666233f9c9451e.jpg
 
Wakunyumba kadoda11 nisipoona story za matope siwezi pata usingizi weka moja nilale vizuri.
 
Baada ya kuwapiga kwenye skyscrapers then mumenza kulia ni za government, that is not your business, kuhusu stadium we have international standard ambayo its worth USD 53millions, plus the other stadiums kadhaa....
 
There is no room for politics here broo, excuse us, kama unaona umeumia sana saga chupa unywe
Politics ziko wapi hapa...ata hujui politics ni nini I pity ur education system boo.lemee google ur literacy rate
 
hiyo ni lahaja ya kenya...infact swahili ya kimvita(mombasa )na kiunguja ndio inayofahamika worldwide
..zingine ni gushi
 
Back
Top Bottom