Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nimegundua wewe ni mjinga wa kiwango cha juu sana,screenshot za matope ya Nairobi zinakuhusu.

sitapoteza mda wangu kukujibu,kila ukini-quote, nitakuwa nakujibu kwa kukuwekea screenshot za matope ya nairobi.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
9121de17e2177b2e79c2681e44701136.jpg
Dude u better shut the *** up....because if u keep silent we will consider u wise...nai yote ni matope? Dar yote ni paved?
 
I told you to provide references unapayuka payuka tu. Majirani wote wanawakimbia kwa sababu nyie ni majambazi.

Hata wewe umeingi kwenye hili kundi la waota mchana??? Ile SGR ya Uganda mlisema inarudishwa kwenu imefanyika nini?? Mseveni is in Kenya na hatujasema kitu, nyi ni limbukeni sana, si rahisi kiongozi kuja kule Tanzania, akija mara moja mnatoka mbio na porojo!! Sasa huyu wa Ethiopia ndiye anawafanya mnaongea kama wazimu, vitu haviingii akilini!!!

Kenya will always be your leader, Tourists will always land in Kenya before taking Vans to Tanzania, this are thigs you cant change my Danganyikan friend!!
 
Kwikwikwikwikwi!!!. Yaani mtaendelea kupiga kelele hizo. Sasa hivi tumeanza uhusiano mzuri na ethiopia. Yaani mtakoma.
 
Dude u better shut the **** up....because if u keep silent we will consider u wise...nai yote ni matope? Dar yote ni paved?
Leave him alone!! He has another 300 pages of this thread to post, just give him time, even if you have such pictures mpe aendelee kupost!! Tushazoea hiyo yake!!!
 
Kwikwikwikwikwi!!!. Yaani mtaendelea kupiga kelele hizo. Sasa hivi tumeanza uhusiano mzuri na ethiopia. Yaani mtakoma.

Ni vile Pm amekuja?? Na ametoka Kenya, three times since the year started!! Bongo kweli mna taab
 
Hata wewe umeingi kwenye hili kundi la waota mchana??? Ile SGR ya Uganda mlisema inarudishwa kwenu imefanyika nini?? Mseveni is in Kenya na hatujasema kitu, nyi ni limbukeni sana, si rahisi kiongozi kuja kule Tanzania, akija mara moja mnatoka mbio na porojo!! Sasa huyu wa Ethiopia ndiye anawafanya mnaongea kama wazimu, vitu haviingii akilini!!!

Kenya will always be your leader, Tourists will always land in Kenya before taking Vans to Tanzania, this are thigs you cant change my Danganyikan friend!!
Sio tu Uganda mpaka Rwanda na Burundi pia na Congo wamekubali kushiki hahahahhaahahha kwa Tanzania mutaumia kichwa bure sio ile mliokua munawaza before hhahhahah usifkiri hakuna direct flight za ndege zinazoleta watalii hahahha kuna KLM,emirates,swiss air,Oman air, etihad, fly Dubai, Turkish airways, etc ndio maama Tanzania in 2016 imeongoza kwa watalii wengi east Africa na bado inalead up to date hahahhaahahhhhahahh
 
Ni vile Pm amekuja?? Na ametoka Kenya, three times since the year started!! Bongo kweli mna taab
Mnapenda kuongea maneno meeengi sana. Tanzania tunafanya kweli. Hapo kenya kaja kwa lengo la boarder dispute pekee yake. Hebu tuwekee mikataba mmeingia na Ethiopia. Kwikwikwikwikwi. Nyie ni wezi.
 
Faykat Tower. Mbuyuni, Dar es salaam. Kinondoni hiyo. Nje ya city center
Faykat Tower.jpg
 
Back
Top Bottom