COLLOH-MZII
JF-Expert Member
- Mar 30, 2017
- 722
- 297
Ata km mmeshinda London na Johannesburg's but kwa economy pole bratheTunatry with 1590 km sq against 696 km sq bado hujui tu hahahahjaaja
Ata km mmeshinda London na Johannesburg's but kwa economy pole bratheTunatry with 1590 km sq against 696 km sq bado hujui tu hahahahjaaja
Taja kenya bila nairobi kuna nin kingine hapa niskie hahahahhahahahNa sasa besides dar hakuna city ingine tanzania
Hahahahha jibu unalo kumbe hii ndio dar the city of business and the city of pleasure in east and central africaAta km mmeshinda London na Johannesburg's but kwa economy pole brathe
Ukitaka kuijua Mwanza ya 2017 wekeni battle na mombasa alaf uone kama utafua dafu weka battle hakuna maneno hapaEty mwanza were is that village..there is only one mega city in Tanzania. That's dar
Kibera is not only the largest in Africa is a largest slum on planet
Maybe Tanzania of 90s hahahahhahahaha kazi munayo sana hahahahahaDon't expose ur stupidity... Nairobi=Tanzania don't compare it with that darslum again
Kuna Mombasa city kisumu eldi nakuruKenya kuna nn zaidi ya nairobi hebu nitajie hapa nilikwambia to a mawazo ya Tanzania of 90s hio ndio inawatesa akili
Mombasa iko level ya darTaja kenya bila nairobi kuna nin kingine hapa niskie hahahahhahahah
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli ukistaajabu ya musa !!!! Hivi huko shuleni ulienda kula visheti?Kuna Mombasa city kisumu eldi nakuru
Endelea kuamini hivo hivoNa sasa besides dar hakuna city ingine tanzania
Of Tanzania point of correctionHahahahha jibu unalo kumbe hii ndio dar the city of business and the city of pleasure in east and central africa
Wewe uko na cert ata ya high soul kweli..nugu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli ukistaajabu ya musa !!!! Hivi huko shuleni ulienda kula visheti?
Its a fact dudeEndelea kuamini hivo hivo
Hadi kuandika shida loh! Kweli hela ya tuition ilienda bureWewe uko na cert ata ya high soul kweli..nugu
Lugha!![emoji1] [emoji1]Wewe uko na cert ata ya high soul kweli..nugu
Nadhani shuleni ulienda kusomea ujinga. Halafu wewe jamaa ni bonge la mshamba. Huoni hata tofauti ya kenya na TZ kwenye mitandao ya kijamii? JF ipo na subscribers zaidi ya 300,000 halafu kenya talk hawafiki hata 20,000. Nadhani ni ujinga wako unakusbuaOf Tanzania point of correction