Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
19e020f041d0628094f20391175c3ab4.jpg
Unapiga viatu yako picha unatutumia...
 
Nairobi iko juu, soma tu nusu ya hiyo article yote......its all about Nairobi. Dar es Salaam majengo ni ya serikali, in Kenya haya majengo ni ya watu binafsi...........ohooooo, si bado mko nyuma!
Ndo maana nasema hamna chenu apo
Makampuni hayo yakiamua kubomoa hamuongei chochote
 
Your trying but u can't catch up soon man
Kwikwikwikwi. We are ahead on Tourism, Estate, Transportation, ICT, Construction, Strategy, Skyscraper, Agriculture, Food availability, Trustworthy, Investment etc. Nyie mko na nini sasa. Zaidi sana nyie ni washamba.
Nyie mmebaki na majisifa ya kijinga ya kizamani. Kwikwikwi.
 
90% ya Nairobi is paved.
Dar ni 40%
Kwikwikwikwi. Nairobi ipo na ukubwa gani compare to Dar? Nairobi is almost equal to Kigamboni. But Dar es salaam has:-
Ilala, Kinondoni, Temeke, Ubungo and Kigamboni. Sasa unapokuja kwa kupayuka lazima uje na statistical evidences.
How many kilometers na Dar ni kilomita ngapi zipo paved. Acha kupayuka. Kwikwikwi.
 
Itakua too late man...Nairobi just can't compare with darslum
By the way tayari international arrivals by flight tumewapiga bao. Don't cry as a baby wewe. We are talking facts. Hatutaki bla bla za Kibera hapa. Go learn how to present information on public. Siyo kuleta taarifa zisizo na references. We are giving you evidences and references. Acha ushamba.
 
Kwikwikwikwi. Nairobi ipo na ukubwa gani compare to Dar? Nairobi is almost equal to Kigamboni. But Dar es salaam has:-
Ilala, Kinondoni, Temeke, Ubungo and Kigamboni. Sasa unapokuja kwa kupayuka lazima uje na statistical evidences.
How many kilometers na Dar ni kilomita ngapi zipo paved. Acha kupayuka. Kwikwikwi.
Anaongea kujifrahisha tu huyu...mayb hesabu alibashite
 
Kwikwikwikwi. Nairobi ipo na ukubwa gani compare to Dar? Nairobi is almost equal to Kigamboni. But Dar es salaam has:-
Ilala, Kinondoni, Temeke, Ubungo and Kigamboni. Sasa unapokuja kwa kupayuka lazima uje na statistical evidences.
How many kilometers na Dar ni kilomita ngapi zipo paved. Acha kupayuka. Kwikwikwi.
Kumbe wewe in mjinga sana...sijui nikutumie bundles u google ama...
Airports
Nai 3 darslum 1
Embassies
Nai 64 darslum 23
GDP
Nai $33b darslum $9
Big stadiums
Nai 2 darslum 2
Just a few to mention its a pity
 
By the way tayari international arrivals by flight tumewapiga bao. Don't cry as a baby wewe. We are talking facts. Hatutaki bla bla za Kibera hapa. Go learn how to present information on public. Siyo kuleta taarifa zisizo na references. We are giving you evidences and references. Acha ushamba.
Don't expose ur stupidity... Nairobi=Tanzania don't compare it with that darslum again
 
Kumbe wewe in mjinga sana...sijui nikutumie bundles u google ama...
Airports
Nai 3 darslum 1
Embassies
Nai 64 darslum 23
GDP
Nai $33b darslum $9
Big stadiums
Nai 2 darslum 2
Just a few to mention its a pity
Kha! Kha! Kha! Naona wewe ni empty headed kabisa. Yaani unaongea ongea tu. Hayo mambo ya embassy yana uhusiano upi na maendeleo. Ukija kwenye stadium acha kabisa usiilinganishe Dar na mambo ya kijinga.
1. National Stadium
2. Uhuru Stadium
3. Azam Stadium
4. Jakaya Kikwete Youth Park
5. Karume Stadium

Wewe unaijua dar au unasikia tu. Acha kufananisha Dar na mambo ya kishamba. Internet ni 4.5G, Makampuni almost 10 ya telecom. Bing Market in east and central Africa.

Halafu kuhusu GDP umejiandikia tu wewe. Kwa sasa Tanzania ipo na almost $60b. Halafu more than half zinatoka Dar. Sasa unajiandikia tu ili kufurahisha nafsi yako. Kwikwikwikwi.
 
Don't expose ur stupidity... Nairobi=Tanzania don't compare it with that darslum again
I think you brain don't want to believe what happening in Dar es salaam. My friend this is 2017 is not 90s. Ondoa ukoko wako kwenye ubongo. Iruhusu akili yako iamini unayoyaona. We are talking facts my friend. Wazungu waliwabeba sana sasa hivi wamewatupa mnabaki kulia lia kama watoto yatima
soma hapa tena dogo:-
Tanzania is Africa's Leading Destination for International Air Arrivals - ForwardKeys Report - Footprint to Africa
 
Kha! Kha! Kha! Naona wewe ni empty headed kabisa. Yaani unaongea ongea tu. Hayo mambo ya embassy yana uhusiano upi na maendeleo. Ukija kwenye stadium acha kabisa usiilinganishe Dar na mambo ya kijinga.
1. National Stadium
2. Uhuru Stadium
3. Azam Stadium
4. Jakaya Kikwete Youth Park
5. Karume Stadium

Wewe unaijua dar au unasikia tu. Acha kufananisha Dar na mambo ya kishamba. Internet ni 4.5G, Makampuni almost 10 ya telecom. Bing Market in east and central Africa.

Halafu kuhusu GDP umejiandikia tu wewe. Kwa sasa Tanzania ipo na almost $60b. Halafu more than half zinatoka Dar. Sasa unajiandikia tu ili kufurahisha nafsi yako. Kwikwikwikwi.
My friend I came to darslum for 2 weeks last year for installation of sage at a company.let me give u facts,
1.when uber was introduced in nai ,thika & Mombasa Kenyans made innovation to rival uber I.e little cab..that will never happen in Tanzania at a 2030
2. KCB,Uchumi,Equity,Nakumatt bidco just to mention a few are Nairobi headquartered and Kenyan owed companies that have gone beyond borders i don't think Tanzanian companies have influence in Kenya
3.nai is headquarters to IBM,google,diageo,cocacola,pwh about 50 regional(Africa) based in nai I doubt if there is any in dar
4.MPESA was a nai innovation used worldwide ata wewe umetumia.
5.thika superhighway is the biggest highway in Africa outside south Africa
6.JKIA airport is top 5 most busy in Africa
7.Nairobi is world most intelligent city 2016
8.Many skyscrapers in Nai are owned by citizens in Dar its government owned.
9.nai has 30000 matatus to dar 10000 daladala..wengi wenu ni route 11
10.NSE is the 2nd best security exchange after Johannesburg's S.E yenu sijui ni no. Ngapi.
11.Nai 10 universities to dar 7
12.siongelei malls juu kucheka maskini si poa...but mujue two rivers is the biggest mall in africa (south Africa excluded)
 
I think you brain don't want to believe what happening in Dar es salaam. My friend this is 2017 is not 90s. Ondoa ukoko wako kwenye ubongo. Iruhusu akili yako iamini unayoyaona. We are talking facts my friend. Wazungu waliwabeba sana sasa hivi wamewatupa mnabaki kulia lia kama watoto yatima
soma hapa tena dogo:-
Tanzania is Africa's Leading Destination for International Air Arrivals - ForwardKeys Report - Footprint to Africa
Unajua ukweli dar hailinganishwi na Nairobi but sikulaumu unaenda dar sana but facts haitambui mapenzi dude
 
Back
Top Bottom