Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hahaha hawana hata kibanda cha kusingizia angalia bus lao😀😀😀😀😀
456192_heroa-jpg.543589
duh basi LA timu kama hiyo ndio ilo kwel!?wakati stand utd timu changa ila ina basi Mercedes benzi jipya kabisa.ngoja niitafute picha yake niitupie umu tuwacheke vizuri
 

Attachments

  • download.jpg
    download.jpg
    7.4 KB · Views: 26
  • download.jpg
    download.jpg
    7.4 KB · Views: 27
  • download.jpg
    download.jpg
    7.4 KB · Views: 26
Niliuliza swali Nai nyumba ngap za floor30+ ziko,na UC he ni ngap cause haikujibiwa...
Hakuna mashaka kuhusu izo montave na pinako sisi tunataka tuone maendeleo ya izo nyumba wakianza tu kupandisha ground floor nishtue
Times Tower is 38 floors, Prism is 34 floors. Next question please
 
duh basi LA timu kama hiyo ndio ilo kwel!?wakati stand utd timu changa ila ina basi Mercedes benzi jipya kabisa.ngoja niitafute picha yake niitupie umu tuwacheke vizuri
hahaaa.. mm najiuliza huo uchumi wao mkubwa mbona hau reflect kwenye sector nyingine, Wanamuziki wao hawana vipato, timu za hoe hae, ajila tabu!!
List ya timu zenye world class buses hapa tz.

1)Simba
2)Yanga
3)Azam
4)Mbeya city
5)Stand united
6)Singida united
7)Mbao Fc
8)KMC

Wenye ma-bus ya kawaida kama la Gor mahia.
1)Coastal union
2)Maji maji
3)Alliance fc
4)JKT Tanzania
Nisiwachoshe wajameni maana list ni ndefu sana hapa. Kma mnabisha go google
 
Coca cola East and Central Africa headquarters in Upper Hill, Nairobi. One of the many multinational companies with regional or continental headquarters in Nairobi
6735.jpg
 
Coca cola East and Central Africa headquarters in Upper Hill, Nairobi. One of the many multinational companies with regional or continental headquarters in NairobiView attachment 705559
Swali hizo headquarters zimetengeza ajira na income kiasi gani?? Pia tambua TZ sisi hatu tumii sana coca but pepsi. Nando anauza sana Dar
 
Back
Top Bottom