Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

abishe mtu niletee ushahidi😀😀😀😀😀
depositphotos_65699537-stock-photo-boys-take-a-water-for.jpg
slum-area-at-very-old-unused-railway-tracks.jpg
the-kibera-slums-in-nairobi-kenya.jpg
1518249964_1-org.jpg
GettyImages-478838107.0.0.jpg
Si unit of poverty!
 
naona maumivu ya wakanda inawauma watu....nilidhani ni mwenzenu ndiye alikuwa akisema sijui Nyerere ni Black panther😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀yaani huyu mshamba unaweza mfananisha na Black panther, the super hero?😀😀😀😀😀jamaa analainisha ndevu kana kwamba ni hitler😀😀😀kamshamba kamekonda kanafananishwa na super hero..huyu pengine mfananishe na spiderman😀😀😀
nyerere_1733288c.jpg
Omba msamaha huyu MTU anaheshima Kubwa sana hapa Tz na Africa nzima, Hayo maneno uliyoongea yanaonyesha Akili yako ni ndogo sanaaa.
 
hahaaa.. mm najiuliza huo uchumi wao mkubwa mbona hau reflect kwenye sector nyingine, Wanamuziki wao hawana vipato, timu za hoe hae, ajila tabu!!
List ya timu zenye world class buses hapa tz.

1)Simba
2)Yanga
3)Azam
4)Mbeya city
5)Stand united
6)Singida united
7)Mbao Fc
8)KMC

Wenye ma-bus ya kawaida kama la Gor mahia.
1)Coastal union
2)Maji maji
3)Alliance fc
4)JKT Tanzania
Nisiwachoshe wajameni maana list ni ndefu sana hapa. Kma mnabisha go google
Uchumi wakupika kwenye makaratasi unazani utaficha madudu yao,thubutu.Ni sawa nakua kipofu kisha unavaa miwani ili watu wakuone mzima tele wakati hali ni ile ile upofu aujifichi.
 
mnasherehekea mabasi ilhali hamna team yoyote bora,
football yenyewe mko ranked position 146(FIFA)
RUGBY ZEEERO
NETBALL ZEERO
VOLLEYBALL ZEERO
ATHLETICS ZEEEEEEERO.

So ni nini mnajua kufanya sana, UMBEA ama?
 
A sneak preview into the future...Upper Hill will be a sight to behold once Montave and Pinnacle are built. How I wish Avic was in the same location!
6800.jpg
 
mnasherehekea mabasi ilhali hamna team yoyote bora,
football yenyewe mko ranked position 146(FIFA)
RUGBY ZEEERO
NETBALL ZEERO
VOLLEYBALL ZEERO
ATHLETICS ZEEEEEEERO.

So ni nini mnajua kufanya sana, UMBEA ama?
Sisi tunafanya michezo kuleta pesa sio ushindi just like Arsenal
 
Swali hizo headquarters zimetengeza ajira na income kiasi gani?? Pia tambua TZ sisi hatu tumii sana coca but pepsi. Nando anauza sana Dar
That's epitome of jealousy. You just wish it was in Dar es salaam. Coca cola is just a tip of an iceberg. Bado kuna zingine kama IBM, Google, UNEP, UN Office in Africa, UN-Habitat, IMF, World Bank, Microsoft, BBC, CGTN...the list is endless. All these companies and UN bodies have their global, continental or regional headquarters in Nairobi. And yes, they employ thousands of Kenyans. Alafu Pepsi ndio pombe gani? Number mtazidi kuisoma!
 
mnasherehekea mabasi ilhali hamna team yoyote bora,
football yenyewe mko ranked position 146(FIFA)
RUGBY ZEEERO
NETBALL ZEERO
VOLLEYBALL ZEERO
ATHLETICS ZEEEEEEERO.

So ni nini mnajua kufanya sana, UMBEA ama?
ume change motion as usual😀😀😀
 
That's epitome of jealousy. You just wish it was in Dar es salaam. Coca cola is just a tip of an iceberg. Bado kuna zingine kama IBM, Google, UNEP, UN Office in Africa, UN-Habitat, IMF, World Bank, Microsoft, BBC, CGTN...the list is endless. All these companies and UN bodies have their global, continental or regional headquarters in Nairobi. And yes, they employ thousands of Kenyans. Alafu Pepsi ndio pombe gani? Number mtazidi kuisoma!
good zimesaidia nn kenya?? ikiwa bado muna njaa, corruption, tribalism, poor slums, unemployment rate high in africa😀😀😀 au ziwepo tu bila maana
 
hahaha huna ushahidi ku hapo ni wapi safari hii mumekamatika😀😀😀😀😀😀

Haka kaboy hua kananifurahisha kanakana kila kitu hata siku El Matador ataeka mamake hapa akitafuta maji huko huko mbagala utaona akikana na kuitisha ushahidi.
 
Back
Top Bottom