Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mbs city beibe
c78c121b3487f5d86d3bc6bfacc81341.jpg
1ae8b2b29bcf84148d644a5316916193.jpg
2a0f333226c309851850fab8910ca05d.jpg
dda68cdb37f4d55eeb5053f1b26d4005.jpg

My city I love it so deeply.
 
Btw Iyo nyumba itafanya skyline yenu ionekane as if mna nyumba moja...nyingine zitamezwa vibaya...tutaiita nai one tower

Note;Sisi watz bado hatuna uhakika if pinaccle is real project Au ndio Yule tembo mweupe mkubwa ...jipeni shughuli
hahahaha....sasa unasema ikiisha itakuwa one tower kisha unaji contradict na kusema ni tembo mweupe...which one is it? a lonely tower or a white elephant? alafu kama hujajua, Montave inajengwa hapo karibu na Pinnacle...infact huwezi ukatembea dakika 10 kabla hujafika kwa Montave site so unaposema itakuwa pekee yake sijui una maanisha nn bro sababu majengo mengine kama 7 hivi yapo hapo including Btiram, UAP, 88 Tower, Prism na Montave
 
hahahaha....sasa unasema ikiisha itakuwa one tower kiha unaji contradict na kusema ni tembo mweupe...which one is it? a lonley towr or a white elephant? kisha kama hujajua, Montave inajengwa hapo karibu na Pinnacle...infact huwezi ukatembea dakika 10 kabla hujafika kwa Montave site so unaposema itakuwa pekee yake sijui una maanisha nn bro
hehe zikwapi pinnacle na montave bro😀😀
show me renders plz😛😛😛😛😛😛😛
 
Niliuliza swali Nai nyumba ngap za floor30+ ziko,na UC he ni ngap cause haikujibiwa...
Hakuna mashaka kuhusu izo montave na pinako sisi tunataka tuone maendeleo ya izo nyumba wakianza tu kupandisha ground floor nishtue
 
just google. it only takes a few seconds
 
Niliuliza swali Nai nyumba ngap za floor30+ ziko,na UC he ni ngap cause haikujibiwa...
Hakuna mashaka kuhusu izo montave na pinako sisi tunataka tuone maendeleo ya izo nyumba wakianza tu kupandisha ground floor nishtue
hahahahaha vyuma vimkaza sana naona.... sasa leo nimejua kuwa huwa mna wivu sana nyi wabongo....mmeanza kubadilisha mwenendo wenu na kusema kuwa Pinnacle itakuwa pekee yake pale upperhill ila juzi mlikuwa mkiimba renders na white elephant...wivu mbaya sana bro
map ya construction sites ndio hii uone jinsi majengo haya yako karibu....Pinnacle will have alot of company..yes it will look very tall as compared to the others but it wont be alone like you are trying to say
upload_2018-3-4_21-59-32.png
 
hahahahaha vyuma vimkaza sana naona.... sasa leo nimejua kuwa huwa mna wivu sana nyi wabongo....mmeanza kubadilisha mwenendo wenu na kusema kuwa Pinnacle itakuwa pekee yake pale upperhill ila juzi mlikuwa mkiimba renders na white elephant...wivu mbaya sana bro
map ya construction sites ndio hii uone jinsi majengo haya yako karibu....Pinnacle will have alot of company..
View attachment 704980
ziko wapi sasa bro😀😀😀😀😀
 
Niliuliza swali Nai nyumba ngap za floor30+ ziko,na UC he ni ngap cause haikujibiwa...
Hakuna mashaka kuhusu izo montave na pinako sisi tunataka tuone maendeleo ya izo nyumba wakianza tu kupandisha ground floor nishtue
wanaogopa kusema hazivuki 2😀😀😀😀
 
heheh hasira bro haifai plz😀😀😀
usichoke kutuonesha renders
hahahah sawa bro..time will tell😀😀😀but I know deep down mnaumwa sana...mnajua kuwa majengo yale yanajengwa ila maumivu yamezidi inabidi mziite renders na white elephant...mwenzako ashaanza kuleta excuse ya tatu akisema kuwa Pinnacle itakuwa a lonely tower.😀😀😀😀..jealousy is very bad bro
 
1.MZIZIMA TOWER 170M 37FLR
2.PPF TOWER 165M 37FLR
3.TPA TOWER 157M 40FLR
4,5..PSPF TWIN TOWERS 153M 35FLR EACH
6.MZIZIMA 2..145M 33FLR
7,8.MNF TOWER TWIN TOWERS 145M 30FLR EACH
9.RITA TOWER 30FLR
10.MILLENIUM TOWER 30FLR
 
ukitaka kujua lonely tower inakaaje nenda Morocco skyscrapercity kuna ujenzi wa 2nd tallest building kule inaendelea. 250 mtres...jngo liko jangwani pekee yake😀😀😀😀very lonely...
usidanganywe na picha za miti...hapo ni jangwani hakuna hata jengo moja eneo hilo..hakuna nyasi, hakuna miti hakuna barabara...sijui hawa jamaa wanatumia akili kivipi kujenga jengo hili mbali na city centre...pengine ni bei ya ardhi ila bado itakuwa weird
Rabat-Tower.jpg
 
Back
Top Bottom