Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sema hapo ni stadium😀😀😀😀😀😀
london_502.jpg
Thats emirates stadium ..wapi imeandikwa headquarters///..HIO UFALA YA HEADQUARTERS NIMESKIA MARA YA KWANZA KWAKO..Hio ni posta ..kwani ni ofisi wanaenda ama uwanjani..nyinyi kweli bongolala
 
hii ni aibu.. This is the most successful team in Kenya with the biggest fun base. Sasa hiyo ngazi ni ya nn!? au wasipotoshana wengine waka kaa juu
ya kuweka mizigo juu na washabiki pia😀😀😀😀😀
 
Thats emirates stadium ..wapi imeandikwa headquarters///..HIO UFALA YA HEADQUARTERS NIMESKIA MARA YA KWANZA KWAKO..Hio ni posta ..kwani ni ofisi wanaenda ama uwanjani..nyinyi kweli bongolala
unaelewa nn kuhusu HQ maana usiwe mpuuzi wakuropoka tu😀😀😀😀😀
 
ya kuweka mizigo juu na washabiki pia😀😀😀😀😀
Hahaa wana zidiwa mpaka na coastal union maana na wao wana bus kama hilo na wana kiwanja pia. Huyo collo hajui kua hamna timu kubwa isiyo kua na office Ulaya ukimwambia hq una mchanganya
1520254842141.jpg
1520254847975.jpg
Wenzetu kwenye viwanja vyao wana ofisi zao, restaurants, Shops, museums, hotels e.t.c.
 
Hahaa wana zidiwa mpaka na coastal union maana na wao wana bus kama hilo na wana kiwanja pia. Huyo collo hajui kua hamna timu kubwa isiyo kua na office Ulaya ukimwambia hq una mchanganyaView attachment 705434View attachment 705435 Wenzetu kwenye viwanja vyao wana ofisi zao, restaurants, Shops, museums, hotels e.t.c.
mbeya city hio😀😀😀😀😀
mbeya%2525252Bcity%2525252Bbasi%2525252B3.jpg
 
naona maumivu ya wakanda inawauma watu....nilidhani ni mwenzenu ndiye alikuwa akisema sijui Nyerere ni Black panther😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀yaani huyu mshamba unaweza mfananisha na Black panther, the super hero?😀😀😀😀😀jamaa analainisha ndevu kana kwamba ni hitler😀😀😀kamshamba kamekonda kanafananishwa na super hero..huyu pengine mfananishe na spiderman😀😀😀
nyerere_1733288c.jpg
No no no haya maneno hapana. .
Sometimes uwe unanyamaza
 
Nimesikitika sana.. kumbe tuna enza tukapotezeana muda kubishana na mtu ambae ata hajui tuna ongelea nini!! Hiyo particular toll road tunayoiongelea haijawa built na govt Imekua built na pension fund kwa kutumia pesa za wana chama wake. Kama unajua hizi funds zina obligation ya kuwekeza funds za wana chama kwenye projects ambazo zina minimal risk. Hapo imetumika PPP ya Build operate & transfer (BOT). Please next time be informed in the matter at hand before engagement so as we can save each others time.

Nothing you can teach us here on PPPs schemes. Seems you are glad in gloating about toll gates without knowing their conception and implementations. Next time before going for background consultations,sema hujui!
 
Nothing you can teach us here on PPPs schemes. Seems you are glad in gloating about toll gates without knowing their conception and implementations. Next time before going for background consultations,sema hujui!
Naona umejibu ili mradi uonekane ume jibu. Sasa unavyo sema nime enda kupata background consultation una zidi kuji aibisha, kwenye jibu langu hamna kitu cha ajabu nilicho sema. Ndiyo maana nika kwambia vitu vyote vipo kwenye vitabu acheni kujifanya eti tumepita uko sijui tumepata method bora zaidi. Kama kwenye profile tungekua tunaweka na elimu zetu usinge pata tabu kusema ya siyo kuwepo.
 
Back
Top Bottom