Junior Clinton Mr.
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 1,078
- 1,425
Morocco itakua city inside city
Izo shule nyumbu hamuwez ata lipia karo...
Btw napenda mnavyojifunua na vitu vya kijinga kama shule za pri na sec kisa ati ni Cambridge curriculums wanatumia
nakwambia matumizi ya mwezi ya mtu wa Kibera ni zaidi ya wewe hapo mkaazi wa Manzese....Kumbe korogocho nyumba ghali nako sionyumba ya tope siunainunua kabisa, reff maneno yako ya mwanzo
Habari kutoka huko Nairobi KenyaMachokoraa wavamia maduka ya wahindi hapo Nairobi, Hii ndiyo tatizo la umasikini ukizidi na na Usalama wa Raia hupotea.
Kichwangumu since day1 hua unaongea kama umeshikiwa kichwa na mtu...there's nothing you know hadi una generalize vitu vya kijinga namna iyoThe number of expatriate community's kids in that school alone is more than the whole of Tanzania's expatriates! That's why they specialize in their home country curriculum. Is this even hard for you to comprehend? Nairobi alone has over 10 such schools and many more all over Kenya.
'per capital' ni nini ?Izo per capital haziko sahihi nadhan kenya ni $ 145
Inategemea. ...wapo watu wanaishi manzese wanamiliki hotel ambayo wewe labda ukavunje bank leo ndio uje umiliki...wanahela mingi tunakwambia matumizi ya mwezi ya mtu wa Kibera ni zaidi ya wewe hapo mkaazi wa Manzese....
yaani hata ya somalia haijafikia hapo bro...Izo per capital haziko sahihi nadhan kenya ni $ 145
hotel ya manzse ni ya nini vipi wewe?😀😀😀...sasa hotel manzese inisaidie kivip?😀😀😀😀😀Inategemea. ...wapo watu wanaishi manzese wanamiliki hotel ambayo wewe labda ukavunje bank leo ndio uje umiliki...wanahela mingi tu
Hv do you think izi maneno za per capital ni sahihi? Fikiria nje ya boxyaani hata ya somalia haijafikia hapo bro...
a problem with the tz education system'per capital' ni nini ?
ulienda shuli ipi?😀😀 hii ndio madhara ya kuenda shule hapo manzese primary kisha kufululiza na Tandale secondary😀😀Hv do you think izi maneno za per capital ni sahihi? Fikiria nje ya box
Manzese na kibera ni vitu viwili tofauti...Manzese wakikadiria mali zilizopo pale inaweza maliza Voihotel ya manzse ni ya nini vipi wewe?😀😀😀...sasa hotel manzese inisaidie kivip?😀😀😀😀😀
Reflection of realityoh by the way what does it mean?😀😀
Dar ni ya.kila mtuLeo umejitahidi na kuleta apartment! Kongole, ila najua iko pale karibu na beach. Nairobi apartments kama hizo ziko kila mahali. Hiyo ni moja ya tofauti zilizopo kati ya Dar na Nairobi
hehe okay ila LDC nchi siwez nikawekeza hela zangu humo...staki hasara😀😀😀Manzese na kibera ni vitu viwili tofauti...Manzese wakikadiria mali zilizopo pale inaweza maliza Voi
Usiwe nyumbu buda,commulative shit ain't really bana...a problem with the tz education system