Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

6716.jpg
 
vibanda ni Dar. ingia Google earth uone vile vibanda vimetapakaa kila mahali
sawa sawa Mzee wa google earth endelea kujifariji kumbe google earth yaonyesha vibanda vilivyotapakaa.... basi usijali tutafugia kuku
 
Just the same way imewafundisha kiingereza kidogo, sana sana anael
nyie hamna kitu mnachojua.... english yenu yenyewe mnayoizungumza ni mbovu pia kiswahili chenyewe mnachokizungumza ni kibovu.... sijui tuwaweke tabaka gani
 
sawa sawa Mzee wa google earth endelea kujifariji kumbe google earth yaonyesha vibanda vilivyotapakaa.... basi usijali tutafugia kuku
Huenda wewe sio resident wa Dar so nakuomba uingie Google earth uone vile jiji lenu limejaa nyumba za mabati kila mahali. Google earth doesn't lie my friend.
 
Huenda wewe sio resident wa Dar so nakuomba uingie Google earth uone vile jiji lenu limejaa nyumba za mabati kila mahali. Google earth doesn't lie my friend.
Hahahahahahahaha, kumbuka real estate ya Dar value yake $12B wakati Nairobi nib$9B, hiyo pesa yote inaenda wapi kama nyumba ni duni kama Nairobi?. Dar hoyeeeee
 
Back
Top Bottom