Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

heheheh mpaka portland cement anakuka loss na ndio kiwanda kikubwa cha cement kenya 967m ksh loss hahahhaha aise mumekwisha😀😀😀
Kenya GDP 70B
TZ GDP 47B
2016 data....ndio huo wimbo unaoupenda bro
 
heheheh mpaka portland cement anakuka loss na ndio kiwanda kikubwa cha cement kenya 967m ksh loss hahahhaha aise mumekwisha😀😀😀
d3674d997452dc874ec4699b6d75cf4e.jpg

😀😀😀
 
yes that is my lifestyle... but I still manage to save 50 bob for tanzanian LDC beggars at the CBD😀😀😀

na wangekua watanzania mungekwisha warusisha maana nashangaa mbona hamuwarudishi😀😀😀😀😀
 
hehehe umeogopa maana leo nilitaka nikushushie nondo hujawah ziona😀😀😀😀😀
nina picha za maiti diwani alivokata katwa...ila sina haja ya kujishusha hadhi kiasi hicho....ukitaka tuzungumze mambo ya msingi ya uchumi na kadhalika niko tayari...ila ya wafu napatwa na guilt kidogo..nimeshindwa kuweka picha hizo hapa...sitawahi hata siku moja
 
Back
Top Bottom