tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Placebo'per capital' ni nini ?
Placebo'per capital' ni nini ?
😀😀😀tulia bas usipandwe na mori...hapa ni utani tuUsiwe nyumbu buda,commulative shit ain't really bana...
Barida😀😀😀tulia bas usipandwe na mori...hapa ni utani tu
ZombieDar ni ya.kila mtu
Akat Nairobi ni ya watu wacheche
So lazima mjengewe pa kuishi nyie slaves
marida....hio ni kisukuma au?Barida
Barida /baridi=Mambo poa yani hakuna joto ....kiswahili cha mtaani ichomarida....hio ni kisukuma au?
Kichwangumu since day1 hua unaongea kama umeshikiwa kichwa na mtu...there's nothing you know hadi una generalize vitu vya kijinga namna iyo
freshi broBarida /baridi=Mambo poa yani hakuna joto ....kiswahili cha mtaani icho
Nilipinga pumba zako ulizotema...Haiwezekani ulichoongea nikakiafiki...Btw sina waswas na mtaala kabisa..mbona Ata uku Tz zipo na hatuna maneno nazo cause ni mambo ya kawaidaBecause I get impatient with laggards like you wenye hawataki kujua ni kwanini kuna curriculum tofauti kwa international schools za Nairobi au hata huko kwenu. Au nilazima upinge kila kitu?
HATA Train ya Speed 120kph itazinduliwa Nai piaLakini niiuulize, ni wewe peke yako huma habari kuwa kila kitu hu launchiwa nairobi? Lol

Top officials wa Yepi Merkiz na Masanja Kadogosa wapo Kampala, wamepiga presentation ya maana leo mchana. zile maneno za grade 3, sijui double stack zote zime kua cleared mbele ya manyang'au walio eneza uzushi kwa waganda. Minyang'au kidogo itoke ukumbini

Vp kijanaeewww