Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

f54287b3e5ea03b1377a9e2db6a2019d.jpg
 
Izo shule nyumbu hamuwez ata lipia karo...
Btw napenda mnavyojifunua na vitu vya kijinga kama shule za pri na sec kisa ati ni Cambridge curriculums wanatumia
wanaopeleka watoto wao shule hizi ni mbuzi na ngombe au?😀😀😀😀
 
Izo shule nyumbu hamuwez ata lipia karo...
Btw napenda mnavyojifunua na vitu vya kijinga kama shule za pri na sec kisa ati ni Cambridge curriculums wanatumia
watoto wa internationa schools hawa...pesa wanazotumia katika lunch ya siku moja pale shuleni inatosha kukulisha wewe miaka mitano😀😀😀😀😀
final%20pic%20for%20home%20page.jpg
DSC0109.jpg
St-Andrews.jpg
 
Habari kutoka huko Nairobi Kenya Machokoraa wavamia maduka ya wahindi hapo Nairobi, Hii ndiyo tatizo la umasikini ukizidi na na Usalama wa Raia hupotea.
 
Izo shule nyumbu hamuwez ata lipia karo...
Btw napenda mnavyojifunua na vitu vya kijinga kama shule za pri na sec kisa ati ni Cambridge curriculums wanatumia
Wewe vile unajivunia hizo orofa tatu ningapi unaweza jenga??? Kweli nyani haoni...
 
watoto wa internationa schools hawa...pesa wanazotumia katika lunch ya siku moja pale shuleni inatosha kukulisha wewe miaka mitano😀😀😀😀😀
final%20pic%20for%20home%20page.jpg
DSC0109.jpg
St-Andrews.jpg
Ada ni pesa ngapi maana mm navyofaham apo wakimaliza hua wanasogea UK kusoma elimu ya juu sio apo meru university /Garrisa university
 
museam place....... since mkoloni ....

wakenya ni poor sana hamnamaisha yenu ni kucopy tu culture za watu.... nyumba nyingi zenu ni old schoool

You've got a long way to go till you learn what sustainable/eco-friendly buildings,zoning and building-code ethics. Stuff such that melding with environment is what we take seriously as Kenyans. If you intent to erect a stark contrasting building in a locality or neighborhood it won't be approved. Your ignorance makes you think otherwise,sorry buddy.
 
😀😀😀😀tazama nyuso za nyumbu wanaosoma international schools...mtoto mmoja analipiwa insurancee inayotosha kukulipia rent hapo kariakorr kwa miaka 5
DSC00741.jpg
Haha bro unadanganywa na hayo majani? Btw inaweza pia kulipia pango lako apo korogocho miaka 10 period
 
Ada ni pesa ngapi maana mm navyofaham apo wakimaliza hua wanasogea UK kusoma elimu ya juu sio apo meru university /Garrisa university
yap thats true...ila ni wtoto wa kikenya....sio mbuzi na ng'ombe unavo assume
 
Haha bro unadanganywa na hayo majani? Btw inaweza pia kulipia pango lako apo korogocho miaka 10 period
yap inaweza ikanlipia nami rent pia ila kwa mwaka moja tu😀😀😀...GDP per capita😀😀😀😀si unaelewa tu jinsi mlivyo LDC
 
yap inaweza ikanlipia nami rent pia ila kwa mwaka moja tu😀😀😀...GDP per capita😀😀😀😀si unaelewa tu jinsi mlivyo LDC
Kumbe korogocho nyumba ghali nako sio nyumba ya tope siunainunua kabisa, reff maneno yako ya mwanzo
 
Back
Top Bottom