Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hehehe nyani haoni kundule 😀😀😀😀
wakenya wameridhika kabisa😛😛😛
069CEFD0-C1F8-444D-A25F-6566C2B9B049.jpeg
B1FE3C57-6B7E-4D44-894B-0CB413724EB2.jpeg
 
maybe...alafu diwani vipi bro?😀😀 kuliendaje mpaka mkamchinja maskini wa Mungu? nilidhani mlikoma wakati ule wa albino hunting
masikini mwanafunzi wa chuo ameua kinyama kenya😀😀😀😀😀😀 hakuna siku kenya inapita salama lzna watu wauwane tu
 
Hii ilitegemewa sana, na bado sana ikifika 2020 kuna watu watapotea hapa JF[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
umeona hio kaka😀😀😀😀
CCDC24BD-99DC-405C-9226-C55AC9D7D31F.jpeg
 
Back
Top Bottom