Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hey atleast I am bringing data to back my claims...nyie mna data zipi??? kupiga domo ni kama tu porojo...leta list inayosema kuwa tz inaipiku kenya katika vita...tuanzie hapo
ujue wewe ni kama konokono wa mtaani na akili ya konokono ni utaratibu wa mwenendo ila udhaifu wake ni mkubwa sana ni chumvi....hvyo wewe ni miongoni mwa binadamu ambao huwa wanaamini binadamu wa kwanza alikuwa ni sokwe kulingana na vitabu pia na any source zilizo mitandaoni........

ila swali ni moja tu ni vita gani vya taifa kama taifa mlivyowahi kupambana kama taifa kwa kuiokoa nchi yenu tukiachana na ushirika wa majeshi..?..

najua hauwezi kujibu ila lete link ili tuendelee kukuona ni jinsi gani ulivyo mbumbumbu
 
hehehe wakenya naomba tuwe wanyenyekevu, hakuna haja kuwadhulumu wenzetu. Sie bado ni maneiba. No punches when the opponent is on the floor. They put up a good fight.

Wait until the neibas regroup with recycled Kibera photos from all perspectives and screaming headlines from 2007/2008! Unasikianga maskini jeuri,ndio hao!..😀😀😀
 
Nothing to learn from these noisy neighbours. Anybody know any South African fora ?
 
Kenya ni Kusema na Kutenda. Renders zote taking shape...

CBK Pension House-Nairobi

3yl9KVZ.jpg

992d8881f7433f9c671357307316a42e.jpg

38286693616_b6804a29b9_o.jpg

df8151592336b1684a59456a9e1c7fdb.jpg
 
hiyo kitu huwa nawaambiaga sana hawa wakenga kuwa baba wa africa na dunia ni tz..... kwan pamoja ya uchumi wao anayecontrol East africa ni Tz
Hii ilitegemewa sana, na bado sana ikifika 2020 kuna watu watapotea hapa JF
 
Old is always Gold...
ha haa..... jiji lenu lipo local sana.....

na nyie mkae mkijua tanzania siyo level yenu nyie ni level za chini..... ila kunamakosa tuliyafanyaga so kinachofanyika ni kuclear viraka vyote...

tuna vingi sana vya kujivunia kilichobaki ni kuyajenga tu...... nyie hamuiwezi tz hata robo
 
ujue wewe ni kama konokono wa mtaani na akili ya konokono ni utaratibu wa mwenendo ila udhaifu wake ni mkubwa sana ni chumvi....hvyo wewe ni miongoni mwa binadamu ambao huwa wanaamini binadamu wa kwanza alikuwa ni sokwe kulingana na vitabu pia na any source zilizo mitandaoni........

ila swali ni moja tu ni vita gani vya taifa kama taifa mlivyowahi kupambana kama taifa kwa kuiokoa nchi yenu tukiachana na ushirika wa majeshi..?..

najua hauwezi kujibu ila lete link ili tuendelee kukuona ni jinsi gani ulivyo mbumbumbu
hehe chokoraa wa uswazini nadhani nilikwambia usemi bila data ni kama porojo tu😀😀😀...
 
What was your intention in that post? Ulikusudia kuhusisha hilo tukio na ukabila bila kujua kwamba Nyeri ndio ngome ya wakikikuyu. Wewe ni kilaza kweli. Unajifanya unajua maswala ya kenya sana wakati hakuna unalojua. And did you say roho mbaya teba ya kinyama? Sasa kukula albino tutaitaje?
nilikusudia munaroho mbaya sana yenye chuki 😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom