Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na huku ni westlands. Building zao zimecluster one part of the city pekee, ukiwaambia kuna cbd, westands ana upperhill wanashindwa kucomprehend, its like 3 cities in one
Na hiyo sio cbd ya westlands..... It's Just a section of westlands district
 
Secret admirer . Kwenu havipo.
Kama ingeku hatuna mungejua leo tanzania imefika ilikofika haha eti kenya wazee wa sifa duniani wanayo secret admire hahah kadanganye watoto wa miaka miwili😀😀😀

Pesa ya kujenga pinnacle na montave na hamuna ndio ukweli mutasubiri 30yrs
 
Wow tanzania go go😀😀😀😀
31ACF425-CB6A-40DE-8AAA-B42D3D3EC6F1.jpeg
 
Wale wapinzani wanaocharazwa mapanga kila siku hawana thamani ya uhai au sio watanzania? mbona serkali haijakemea wala kugharamia mazishi? a despot's government is so hypocrisy.
Nimekuambia acha ujinga, hukusikia kwamba huyo diwani aliyecharazwa mapanga tayari watu kumi wamekatwa na sababu ya kuuliwa inatokana na kulipiza kisasi baada ya huyo diwani kumtuhumu kuhusika na kifo cha ndugu yao kutokana na ugomvi wa mashamba?, sasa unataka serikali ihusike kumzika kila mtanzania?.

Wewe acha kukimbia ukweli, ninyi hata kulaani tu hamlaani mpo kimya kama wanyama, watu wanauliwa na polisi wenu kila siku, ninyi mnaweka mmikia matakoni, polisi wenu wanaongoza kwa kuuwa raia hapa Afrika, kwasababu raia wenyewe wanachukiana, akiuliwa mkikuyu, Jaluo anafurahia, akiuliwa Jaluo, mkikuyu anachekelea, bure kabisa failed state.
 
lakini polisi huwa na grudge sana na a university comrade........during our time tuliwahi rushiwa teargas ndani ya hoteli tulimokuwa tukila.......and walivunja comrades wengi na fimbo zao.......you know if you are rioting and calling them losers or academic dwarfs then wapatane na wewe on your own....they won't hesitate decapitating you or terminating you all together.

That was astray bullet ,it wasn't intended to kill ,all together I condemn the killing of students with the strongest term possible. lakini kale kengine ndio kalikua kanatakikana angalau kavunjwe mguu,siku hizi eti ni kabunge [HASHTAG]#Babuowino[/HASHTAG].....kalitusumbua Harpo university na madrugs.
 
Nimekuambia acha ujinga, hukusikia kwamba huyo diwani aliyecharazwa mapanga tayari watu kumi wamekatwa na sababu ya kuuliwa inatokana na kulipiza kisasi baada ya huyo diwani kumtuhumu kuhusika na kifo cha ndugu yao kutokana na ugomvi wa mashamba?, sasa unataka serikali ihusike kumzika kila mtanzania?.

Wewe acha kukimbia ukweli, ninyi hata kulaani tu hamlaani mpo kimya kama wanyama, watu wanauliwa na polisi wenu kila siku, ninyi mnaweka mmikia matakoni, polisi wenu wanaongoza kwa kuuwa raia hapa Afrika, kwasababu raia wenyewe wanachukiana, akiuliwa mkikuyu, Jaluo anafurahia, akiuliwa Jaluo, mkikuyu anachekelea, bure kabisa failed state.

We mpare acha longolongo zako,,,,,,na yule aliuliwa dar? kwanza huyu wa mapanga ni mashamba wanang'ang'ania na watu wa CCM,si walikata umeme nyumbani kwake ilhali jirani zake wanao kisha mkaingia kumchinja nakisia mlizani ana viungo vya albino.
 
lakini polisi huwa na grudge sana na a university comrade........during our time tuliwahi rushiwa teargas ndani ya hoteli tulimokuwa tukila.......and walivunja comrades wengi na fimbo zao.......you know if you are rioting and calling them losers or academic dwarfs then wapatane na wewe on your own....they won't hesitate decapitating you or terminating you all together.

That is natural, here in Kenya men are 48% and women 52% kwa hivyo ni lazima wengine watakosa waume.
 
lakini polisi huwa na grudge sana na a university comrade........during our time tuliwahi rushiwa teargas ndani ya hoteli tulimokuwa tukila.......and walivunja comrades wengi na fimbo zao.......you know if you are rioting and calling them losers or academic dwarfs then wapatane na wewe on your own....they won't hesitate decapitating you or terminating you all together.
Sio polisi wa Kenya pekee, dunia nzima polisi wana tabia ya kuwa katili, lakini inategemea sana na reactions za wananchi na serikali pale inapotokea wamefanya mauaji, hapa Tanzania, kunakuwa na malalamiko mengi kutoka kwa wananchi, taasisi zisizo za kiserikali na viongozi wa dini kulaani endapo itatokea, kama ilivyotokea last week, makelele hayo huwa yanawastua polisi na serikali yenyewe, mara nyingi wanachukua hatua.

Kenya ni tofauti kabisa, polisi au hata jeshi likifanya mauaji ya raia bila sababu, hakuna umoja wa kitaifa kulaani, na endapo wakatokea watu kulaani, basi upande wa pili unawatetea polisi, kwa mfano huyu mwanafunzi aliyeuliwa Kikuyu, ukiangalia na kusoma comments za wajaluo wanafurahi, hii inawfanya wazidishe ukatili wao.
 
Kama ingeku hatuna mungejua leo tanzania imefika ilikofika haha eti kenya wazee wa sifa duniani wanayo secret admire hahah kadanganye watoto wa miaka miwili😀😀😀

Pesa ya kujenga pinnacle na montave na hamuna ndio ukweli mutasubiri 30yrs

Utashikwa na kigugumizi utakapoiona imesimama.
 
We mpare acha longolongo zako,,,,,,na yule aliuliwa dar? kwanza huyu wa mapanga ni mashamba wanang'ang'ania na watu wa CCM,si walikata umeme nyumbani kwake ilhali jirani zake wanao kisha mkaingia kumchinja nakisia mlizani ana viungo vya albino.
Hapa hatuzungumzii awe CCM au chama gani, muuaji ni muuaji tu, sisi huku hatujali sio kama huko Kenya, Jubilee akiua NASA, serikali haishughuliki kukamata watu. Muhimu ni kwamba wote waliohusika na mauaji ya Dar na Moro, polisi imewakamata bila kujali vyama vyao na watapelekwa mahakamani, jambo ambalo sio rahisi kutokea Kenya, hasa pale ambapo Jubilee ndiyo waliotekeleza mauaji, au polisi ndiyo waliohusika.

Katika hili Kenya inajulikana duniani kote kwa maujai ya kinyama na kiholela bila hatua stahiki kuchukuliwa, la kushangaza, wananchi wenyewe badala ya kuungana nankuanza kulipigia kelele, wao ndiyo kwanza wanajilinganisha na Tanzania ambao wapo mbele sana katika kupambana na police brutality.
 
Nimekuambia acha ujinga, hukusikia kwamba huyo diwani aliyecharazwa mapanga tayari watu kumi wamekatwa na sababu ya kuuliwa inatokana na kulipiza kisasi baada ya huyo diwani kumtuhumu kuhusika na kifo cha ndugu yao kutokana na ugomvi wa mashamba?, sasa unataka serikali ihusike kumzika kila mtanzania?.

Wewe acha kukimbia ukweli, ninyi hata kulaani tu hamlaani mpo kimya kama wanyama, watu wanauliwa na polisi wenu kila siku, ninyi mnaweka mmikia matakoni, polisi wenu wanaongoza kwa kuuwa raia hapa Afrika, kwasababu raia wenyewe wanachukiana, akiuliwa mkikuyu, Jaluo anafurahia, akiuliwa Jaluo, mkikuyu anachekelea, bure kabisa failed state.
57E5EBB7-B291-4D9B-A23F-40E96C0449F2.jpeg
 
Wamekata miti na kumaliza forest sasa wanaulizana kuhusu maji😀😀😀😀
3B69FA53-4A7C-4454-8662-D72F3DFE483B.jpeg
 
Nimekuambia acha ujinga, hukusikia kwamba huyo diwani aliyecharazwa mapanga tayari watu kumi wamekatwa na sababu ya kuuliwa inatokana na kulipiza kisasi baada ya huyo diwani kumtuhumu kuhusika na kifo cha ndugu yao kutokana na ugomvi wa mashamba?, sasa unataka serikali ihusike kumzika kila mtanzania?.

Wewe acha kukimbia ukweli, ninyi hata kulaani tu hamlaani mpo kimya kama wanyama, watu wanauliwa na polisi wenu kila siku, ninyi mnaweka mmikia matakoni, polisi wenu wanaongoza kwa kuuwa raia hapa Afrika, kwasababu raia wenyewe wanachukiana, akiuliwa mkikuyu, Jaluo anafurahia, akiuliwa Jaluo, mkikuyu anachekelea, bure kabisa failed state.
USA has the highest gun killing statistics.....failed state too?
 
Leo umejitahidi na kuleta apartment! Kongole, ila najua iko pale karibu na beach. Nairobi apartments kama hizo ziko kila mahali. Hiyo ni moja ya tofauti zilizopo kati ya Dar na Nairobi
Tanzania kuielewa itakusumbua sana.

Hakuna mtanzania mwenye ndoto ya kuishi kwenye apartment mimi mara yangu ya kwanza kuishi kwenye apartment ni University life which I was not very much pleased living in apartment like chicken or cattle

Mtanzania anawaza kujenga nyumba yake kubwa with bigger garden, many rooms, fenced home, privacy, maximum ownership huo utamaduni wa kuishi kwenye magorofa sio utamaduni wa mtanzania.

Tanzania land is bigger and building is cheaper huko kwenu hamuwezi afford kununua land na kujenga your own home ndio maana you opt apartment as your best solution.

Poleni mnaishi kama panya
 
USA has the highest gun killing statistics.....failed state too?
Maswali ya aina hii ndiyo yanayowadhalilisha wakenya na kuonyesha ni kwa jinsi gani uwezo wenu wa uelewa ulivyo mdogo, failed state inahusisha vipengele vingi, hiki kikiwa kimojawapo, lazima viwepo vyote kwa pamoja ndiyo uweze kupata hiyo status, US inaweza kuwa na viwili au hata vitatu, lakini kama haijafikisha haiwezi kiwa failed state.

Lakini kwanini ninyi kila kitu lazima mjilinganishe na US?, kwanini usingesema mbona South Afrika wana crime rate kubwa lakini sio failed state, yaani ninyi ni watumwa wa wazungu sana, kiasi cha kuhuzunisha na kusikitisha.
 
Back
Top Bottom