Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ukiona mwenzio ananyolewa ww paka maji nywele zako😀😀😀😀😀😀😀😀
28D7AE36-6E0D-44CB-A6B8-B47CA145EB49.jpeg

98BEFF5E-5A54-43D9-BCE9-5D06B496CEA6.jpeg
 
unajua maana ya filter? Kwa hizo picha nilizoleta filter zikowapi? Alafu zile dream houses zenu na kadoda mbona siku hizi hamzileti? Au bado mko kwenye donto? (remember they are dream houses)
sasa kilio cha nn kisa nimekuonesha kitu mubashara 😀😀😀😀😀 basi sioneshi tena
 
Did you say YAWEZA fika?Avic will be the tallest building in east Africa upon its completion awaiting pinnacle. Alafu Morocco is such a dwarf building kulinganisha na Avic. Hiyo Morocco imefika hata 20 floors
pinnacle na montave ziko wapi?? tuoneshe😀😀
 
sijui kama nguruwe anaeza ishi kwenye hayo mabanda aisee kuna watu na viatu
kwa wasiojua kirefu cha SDGs ni sustainable development goals😀😀😀😀😀
1DF80ED7-372F-4839-83F7-F3BF54496CCC.jpeg
 
asante kiba kwa kumuoa dada yake collo na mwaswast asante sana tena sana😀😀😀😀😀😀
E245225B-694A-4497-8E3D-ACE634D90302.jpeg
 
West European Group Sets Up Bitumen Sh 5B Plant in Kwale County
445213348_185600.jpg


West European Group SARL Ltd, a Luxembourg-based bitumen supplier, is setting up a bitumen manufacturing plant in Shimoni, Kwale County, to help in the manufacture of road construction material in the country. The manufacturing plant could potentially make Kenya into a net bitumen exporter in the future.

West European Group Sets Up Bitumen Sh 5B Plant in Kwale County
 

Kifo cha huyu mwanafunzi aliyeuliwa na polisi leo hamjakisikia, au maisha yenu hayana thamani ukilinganisha na watanzania?, mtakumbuka last wiki watanzania walivyoshughulikia kifo cha yule mwanafunzi?,

Usingizi mwema.
 
Back
Top Bottom