Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Maswali ya aina hii ndiyo yanayowadhalilisha wakenya na kuonyesha ni kwa jinsi gani uwezo wenu wa uelewa ulivyo mdogo, failed state inahusisha vipengele vingi, hiki kikiwa kimojawapo, lazima viwepo vyote kwa pamoja ndiyo uweze kupata hiyo status, US inaweza kuwa na viwili au hata vitatu, lakini kama haijafikisha haiwezi kiwa failed state.

Lakini kwanini ninyi kila kitu lazima mjilinganishe na US?, kwanini usingesema mbona South Afrika wana crime rate kubwa lakini sio failed state, yaani ninyi ni watumwa wa wazungu sana, kiasi cha kuhuzunisha na kusikitisha.


south Africa ni small fish kwa hii dunia...we can only talk of superpowers
 
Unaweza amini kila kitu wewe. Wanyeri ni Wakikuyu unless wataka kumaanisha vingine. Ni kama kusema ''Wamoshi wamechoma gari ya mchagga''! Tunajua unataka kuingiza ukabila lakini huo ulikua uhalifu wa kawaida yaani mob justice.
uhahaha pole bro kwa maumivu makali sana😀😀😀😀😀😀
 
Police shoot, kill Meru University student leader as protests turn ugly
Please Kenyans, if you want to be respected, you must start to respect yourselves first. Where is the logic of having big houses and good roads but you don't value life?, a student is killed like a wild animal but no one cares you keep on posting photos of buildings as if life to you has less value than those buildings.

So do you want life to stand still? Unfortunate as it is, life must go on and authorities concerned are on the matter. Your crocodile tears doesn't change a thing! I bet by your assertion,next time a calamity hits Tz we all shut down JF and coil in misery,right?
 
Tanzania kuielewa itakusumbua sana.

Hakuna mtanzania mwenye ndoto ya kuishi kwenye apartment mimi mara yangu ya kwanza kuishi kwenye apartment ni University life which I was not very much pleased living in apartment like chicken or cattle

Mtanzania anawaza kujenga nyumba yake kubwa with bigger garden, many rooms, fenced home, privacy, maximum ownership huo utamaduni wa kuishi kwenye magorofa sio utamaduni wa mtanzania.

Tanzania land is bigger and building is cheaper huko kwenu hamuwezi afford kununua land na kujenga your own home ndio maana you opt apartment as your best solution.

Poleni mnaishi kama panya
when I traversed your country I never saw those imaginary houses you are talking about........please wake up.Why are you an LDC country anyway.....is it that you never want to accept your true state and see how you can improve?
 
So do you want life to stand still? Unfortunate as it is, life must go on and authorities concerned are on the matter. Your crocodile tears doesn't change a thing! I bet by your assertion,next time a calamity hits Tz we all shut down JF and coil in misery,right?
Hapana, unakosea sana ukisema hivyo. Wewe unafahamu kwamba viongozi wetu wa Afrika na serikali zetu nyingi zina tabia ya udikteta na ukandamizaji, kitu pekee kinachowafanya wasiwe full flagged dictators ni reaction ya wananchi, wakikuta wananchi wenyewe hawajali, wataendelea kutuchinja au kufanya vile wapendavyo

Sidhani kwamba wakenya wana roho mbaya ya kuuana kushinda nchi zengine za Afrika, lakini police killings na bturality, Kenya inaongoza Africa kwa sababu wananchi wenyewe wamegawanyika katika ukabila, hivyo police hawana shida kumpiga risasi mtu wa kabila fulani kwasababu kabila lingine litawatetea.

Pili ni lazima pawepo na uwiano wa thamani ya maisha duniani, haiwezikani nchi jirani kifo cha mwanafunzi, kiguse taifa zima, na serikali yote ihamie ktk msiba, wakati nchi jirani inaburuza mwili wa mwanafunzi aliyeuliwa kwa makusudi na polisi kama vile ni mzoga wa mbwa au paka, how do you feel as a citizen of Kenya?
 
Wakenya kumbe mnalielewa vizuri Jeshi la Tz.. Msije mkathubutu, mtanyooshwa kama Suti ya Harusi
8f6c130de31c8d2bc9af6ca4239b8930.jpg
13d97e309e458abe7a63de0a25b80b64.jpg
e57dc0a2afcdbb27d69d8817e68e5675.jpg
 
Pelekeni jeshi Somalia.. ...kelele mingi hatutaki
Hao waliosema hivyo ni wakenya, sisi tunanyegiza tu.
Mbona tulipopigana na IDD AMIN hamkutusaidia?, mbona tulivyokwenda DRC kuwafukuza M23 hamkuja?, mbona vita vya ukombozi kusini mwa Afrika hamkuja?. Mlijipeleka wenyewe Somalia kutokana na nyege zenu bila kujua uwezo mdogo wa jeshi lenu.
 
Hapa hatuzungumzii awe CCM au chama gani, muuaji ni muuaji tu, sisi huku hatujali sio kama huko Kenya, Jubilee akiua NASA, serikali haishughuliki kukamata watu. Muhimu ni kwamba wote waliohusika na mauaji ya Dar na Moro, polisi imewakamata bila kujali vyama vyao na watapelekwa mahakamani, jambo ambalo sio rahisi kutokea Kenya, hasa pale ambapo Jubilee ndiyo waliotekeleza mauaji, au polisi ndiyo waliohusika.

Katika hili Kenya inajulikana duniani kote kwa maujai ya kinyama na kiholela bila hatua stahiki kuchukuliwa, la kushangaza, wananchi wenyewe badala ya kuungana nankuanza kulipigia kelele, wao ndiyo kwanza wanajilinganisha na Tanzania ambao wapo mbele sana katika kupambana na police brutality.



Wakati mnawachinja na kunywa mchuzi wa zeruzeru hamjui kama uhai wao ni wathamani ?ama hao hawafai kuishi Tanzania?
 
Back
Top Bottom