COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
na siku ukipata evidence kua hapo ni dar utakua mwanaume kweli na lazma utakua umetairiwa😀😀
na dada yangu nakupa bure sasa kazi kwako tu
na siku ukipata evidence kua hapo ni dar utakua mwanaume kweli na lazma utakua umetairiwa😀😀
na dada yangu nakupa bure sasa kazi kwako tu
GDP has nothing to do with climate..hii ndio ubaya wakua shopkeeperSo what about GDP???😀😀😀😀
hoja ya river road ni mtaa au sio mtaa ni hoja ndogo sana.Anayeropokwa kati yangu nawe ni nani? How do you call a street mtaa? kwa uelewa wangu, mtaa ni mahali watu wanaishi, kama pale tandale au mbagala. Hapa Nairobi, sijawahi sikia mtaa inaitwa river road

Nioneshe picha nyingine ya hyo sehem, najua hunaSame place different angles...Hapa ni among 8% ambayo sio slum..hebu weka pande hiyo ingine nicheke hadi mbavu ziume.

nimeielewa.... hii dah.... msikonde wakenya mtakuja kuziona nyasi.....nimependa mtangazaji alivosema kua wafugaji wa kenya walioko karibu na serengeti tanzania nyasi wanazila kwa macho tu😀😀😀😀😀😀😀
dereva wa watalii wa kenya anakwambia ukivuka ukaingia park ya tanzabia bila kibali unakutana chuma hakuna mjadala asante uncle magu kaza zaidi

kabisa ila huu uzi inabidi uwe endelevuwakenya wanamuomba moderator afunge thread.![]()
![]()
tulijua tuu hii battle lazima mngetangaza kushindwa. tumewapiga KO mpaka mmeanza kuokoteza picha za nchi zingine na kudai ni slum ya dar. smh.
tanzania oyeeeeeeeee. pongezi kwenu ma-comrade wote mlioshiriki katika battle hii. hakika tunahitaji kujipongeza kwa ushindi huu na kurejesha heshima ya tz miongoni mwa wakenya.
Moderator sasa ni ruksa kuifunga thread, tayari wapinzani wetu wameshatangaza kushindwa.
asanteni wote kwa uvumilivu wenu.mungu wabariki sana. sote tuseme amen/inshallah.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hasira haiwez kukusaidia😀😀😀
yes just declare yourselves winners......it's none of our concern.kila mtu akae kwao polepolewakenya wanamuomba moderator afunge thread.![]()
![]()
tulijua tuu hii battle lazima mngetangaza kushindwa. tumewapiga KO mpaka mmeanza kuokoteza picha za nchi zingine na kudai ni slum ya dar. smh.
tanzania oyeeeeeeeee. pongezi kwenu ma-comrade wote mlioshiriki katika battle hii. hakika tunahitaji kujipongeza kwa ushindi huu na kurejesha heshima ya tz miongoni mwa wakenya.
Moderator sasa ni ruksa kuifunga thread, tayari wapinzani wetu wameshatangaza kushindwa.
asanteni wote kwa uvumilivu wenu.mungu awabariki sana. sote tuseme amen/inshallah.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
yes just declare yourselves winners......it's none of our concern.kila mtu akae kwao polepole

endelView attachment 701548endeeni kutuma picha za indian slums
mpaka huruma aisee😀😀😀😀
ndio nasubiria kwa hamu anahangaika tu😀😀😀😀😀😀akikutumia link nitag
heheh GDP haihusiani na njaa na maji jijini asante sana😀😀😀😀😀GDP has nothing to do with climate..hii ndio ubaya wakua shopkeeper
Unaisingizia india bure tu😀😀😀endelView attachment 701548endeeni kutuma picha za indian slums
mbona bado upo????😀😀😀😀😀😀Hii thread imejaa utoto sana.
Hadhi yake imeisha already.
Sioni meaning yake tena
poa ila msipende kukasirika tunapoonesha ukweli pia tunafanya hvi tujifunze na tuone wapi tulipoSina hasira kaka tena twakaribisha utani lakini mnapotanian usipite misingi iliowekwa.