umemaliza kufua vi nguo vyako na jamaa soap then unakuja kumwaga povu hukuToronto sio slum City labda mjaribu Lagos ama Kinshasa.



😛wallah google earth haitaki ujinga.
nilipo jaribu ku-search keyword ya "dar es salaam slum" kwenye searching bar ya google earth, imeniletea location moja tu.
lacation yenyewe ni jengo la bin slum plaza, hili ni jengo la la ghorafa za zaidi ya sita linalopatikana kariakoo CBD.
![]()
![]()
![]()
![]()
and when i did the same thing for nairobi by using the keyword "nairobi slum", the result was amazing.
see it for yourself![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
MNF towers zakaribia kua tayar ....mwaka huu skyline itazidi kung'aa
Kama ni hvyoInfact its 2 buildings
Nyie 32Infact its 2 buildings
Nairobi population 4milion

57Nyie 32
numbers don't lie.Nairobi population 4milion
Kibera population 2.5 million
Whaaatttt!!!!!!![]()

bado makuru kayaba slum, mathare slum, kariobangi slum etc ziko nyingi sana😀😀😀😀Nairobi population 4milion
Kibera population 2.5 million
Whaaatttt!!!!!!![]()
Jamani hapa siyo Austria kweli
They will tell you slum....
Pia wewe uko fiti backstroke toka manzese hadi kinondoni...swimming lessons za bure dar is slum wakati was mafuriko.Endeleeni kuokota picha google alaf museme dar😀😀😀😀😀
Same place different angles...Hapa ni among 8% ambayo sio slum..hebu weka pande hiyo ingine nicheke hadi mbavu ziume.