Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenyan banks would ask the other spouses consent too na kama ni mnigeria watachukua one month kufanya thorough background check ndio apewe mkopo........kwanza they insist so much on a source of income which is verifiable.....
.hapo ni bank walichemsha
Not kenyan banks.. muongozo wa East Africa Institute of bankers hapo umeki ukwa. Principles of lending ambazo every banker anazisoma pia zimekiukwa. Its very obvious hapo huyo mnigeria ame kula njama na loan officer, Unless there is more to the story
 
EA financial centre
19379215_118835005381414_8434233768297889792_n.jpg
19765045_132419324013759_5530693833043476480_n.jpg
DJnbHz7W0AACtr-.jpg
22221200_132190610842879_5503185679909126144_n.jpg
22157816_169250206963052_7971532547748265984_n.jpg
24864776598_9fcb159db7_o.jpg
uTGmY.jpg
w7xQt.jpg
elMDg.jpg
Before filter😀😀😀😀😀
BBA37456-94DB-4067-96DE-324F65B33839.jpeg
 
wazee wa cooked data....

kwanini hao Tanzania beggars wasitajwe na miji mingine...
Why Kenya!?
eti Nakuru, yaan mTZ akaombe ombe Nakuru....!!? maajabu haya....
swali la kujiuliza kwann hawatajwi wako tanzania 😀😀😀 alafu wanagekua watanzania wangerudishwa siku nyingi sana kama vile sisi tunavowarudisha kwao
 
sasa ujiulize kwa akili yako mbona hawako tanzania na usitumie akili kubwa kujibu😀😀😀😀


na kama ni watanzania mbona hawarudishwi kwao, mbona sisi tukiwakamata tunawapeleka kwenu??
Hakuna pesa tz then kama ni albino unaeza mkula
 
So if you allow everybody to post anything without evidence, then the meaning of constructive arguments is lost, this forum will be no difference with most of Kenyans forums which most of the time people throw words to each other based on tribe or political divide with no evidences.
Na nyinyi mkileta picha za slums na kuziita Kibera do you have evidence kwamba ni kibera? Don't be partisan
 
hujanijibu swali ??? ikiwa ni watanzania mbona hawarudishwi kwao na sijawah kuskia wanerudishwa kwao???
Wanahepa cannibals kama wewe...huko kwenu utawatumia kutengeneza supu...inabidi wavukee boda for their safety
 
asante kwa kuropoka.
Anayeropokwa kati yangu nawe ni nani? How do you call a street mtaa? kwa uelewa wangu, mtaa ni mahali watu wanaishi, kama pale tandale au mbagala. Hapa Nairobi, sijawahi sikia mtaa inaitwa river road
 
Back
Top Bottom