Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Look at at what your Nigerian ambassador has to say about JKIA. It could be true through his eyes and experiences same with Dar when he was there. Beauty is n the eyes of the beholder after all.

Reno Omokri‏ @renoomokri

This is the Jomo Kenyatta Airport, Nairobi. It is the best airport I've visited in Africa. I checked in and printed my boarding pass and completed ALL formalities on this electronic self check in kiosk. It even verified my passport. Kenya is a country I'd recommend to anyone!

DWtLJDzVwAA7nPw.jpg

DWtLJDzVwAA7nPw.jpg

12:13 AM - 23 Feb 2018 from Nairobi, Kenya
 
Broken images.
 
😀😀😀😀😀😀 wtf

mwenzangu, huyo ni yule mhindi/mzungu mliokuwa mkijigamba naye kama ambassador wenu. Sasa keshatuonyesha kwamba hapo tu kando ya BRT ni slums tupu. Kasema kunakaa Orangi Town Karachi ama mashamba (rural area). Usishikwe na machungu sana, hii kibera si suluhisho kwa shida zenu. Kila post yako na wenzako ni Kibera kama come back lol. Be creative.
 
sio kibera tu hzi hapa zingine😀😀😀😀😀😀😀

sasa ujiulize kwa akili yako mbona hawako tanzania na usitumie akili kubwa kujibu😀😀😀😀

na kama ni watanzania mbona hawarudishwi kwao, mbona sisi tukiwakamata tunawapeleka kwenu??

Wakenya hatuna tabia ya kuwafurusha maskini hohe hahe ati warudi kwao ilhali walifika hapa na ndoto nyingi za kufanikiwa. Sio wabongo tu, bali pia Wakongomani, Wanyarwanda, wa sudani n.k. Watanzania wanajulikana hapa Kenya kwa kuwa beggars, most people wakiona beggar kitu cha kwanza wanafikiri ni Mtanzania. Nakupa tu uhalisia wa mambo, hata urebuff na picha za kibera haitobadilisha ukweli. Kuna mtu alishare video ya beggars toka bongo na bado unawakana maskini. Usiwe hivo, kuwa mwadilifu na uwakubali nduguzo hata kama hawana chochote. Nimesoma article hapa na beggars wako wengi tu sana huko Tanzania, na Mwanza ni kama headquarters. Sasa sijui tukiwa deport hawa walioko huku itakuwaje maanake watajaa mijini kwenu.

Why beggars flock to Mwanza city
 
Wakenya hatuna tabia ya kuwafurusha maskini hohe hahe ati warudi kwao ilhali walifika hapa na ndoto nyingi za kufanikiwa. Sio wabongo tu, bali pia Wakongomani, Wanyarwanda, wa sudani n.k. Watanzania wanajulikana hapa Kenya kwa kuwa beggars, most people wakiona beggar kitu cha kwanza wanafikiri ni Mtanzania. Nakupa tu uhalisia wa mambo, hata urebuff na picha za kibera haitobadilisha ukweli. Kuna mtu alishare video ya beggars toka bongo na bado unawakana maskini. Usiwe hivo, kuwa mwadilifu na uwakubali nduguzo hata kama awana lolote. Nimesoma article hapa na beggars wako wengi tu sana huko Tanzania, na Mwanza ni kama headquarters. Sasa sijui tukiwa deport hawa walioko huku itakuwaje maanake watajaa mijini kwenu.

Why beggars flock to Mwanza city
Kama mnauwezo wa kusaidia beggars, vipi mshindwe kuwasaidia watoto chokoraa wanaolala barabarani na kupora watu?, vipi kuhusu slums ziwashinde?

Inaonekanya Kenya attracts beggars because nchi yenyewe ndiyo beggar number one in EA, remember birds of the same group do fly together, in Tanzania we do attact investors, business people, farmers, teachers and alike
 
Kusaidia beggars kivipi? Beggars kazi yao ni kubeg yani kuomba omba mitaani. Forget about business in Tanzania, no one knows Tanzania for business. Hilo hakuna atakaye kuamini. Sasa nikishakwambia beggars ni wa bongo tena unaanza kurusha hilo liwe ni kana kwamba shida ni Kenya kwa kuwa na beggars wa kutoka bongo. Maajabu hayo. Kiuhalisia ni kwamba wabongo wengi sana ni maskini hohe hahe na licha ya kubeg tanzania, haiwatoshi kukaa kule maanake hakuna mali ya kutosha inabidi wanaji-export hadi kenya ambako wanajua vizuri tu kuwa Wakenya wana mali kushinds kwao. Hawawezi enda Uganda ama Burndi ama Rwanda maanake wanajua kule hakuna pesa. Kenya is where the money is and they are just following the money.
 
Look at at what your Nigerian ambassador has to say about JKIA. It could be true through his eyes and experiences same with Dar when he was there. Beauty is n the eyes of the beholder after all.

Reno Omokri‏ @renoomokri

This is the Jomo Kenyatta Airport, Nairobi. It is the best airport I've visited in Africa. I checked in and printed my boarding pass and completed ALL formalities on this electronic self check in kiosk. It even verified my passport. Kenya is a country I'd recommend to anyone!

DWtLJDzVwAA7nPw.jpg

DWtLJDzVwAA7nPw.jpg

12:13 AM - 23 Feb 2018 from Nairobi, Kenya
bila shaka alipo check-in aliendelea zake na safari.

ange spend wiki moja hapo nairobi na kuelezea opinion zake kuhusu slums zenyu bila shaka mda huu twitter ingewaka moto.
 
Kusaidia beggars kivipi? Beggars kazi yao ni kubeg yani kuomba omba mitaani. Forget about business in Tanzania, no one knows Tanzania for business. Hilo hakuna atakaye kuamini. Sasa nikishakwambia beggars ni wa bongo tena unaanza kurusha hilo liwe ni kana kwamba shida ni Kenya kwa kuwa na beggars wa kutoka bongo. Maajabu hayo. Kiuhalisia ni kwamba wabongo wengi sana ni maskini hohe hahe na licha ya kubeg tanzania, haiwatoshi kukaa kule maanake hakuna mali ya kutosha inabidi wanaji-export hadi kenya ambako wanajua vizuri tu kuwa Wakenya wana mali kushinds kwao. Hawawezi enda Uganda ama Burndi ama Rwanda maanake wanajua kule hakuna pesa. Kenya is where the money is and they are just following the money.
Millions of Kenyans ‘to face hunger by 2030’

Kenya where the money is

Hivi hujui kwamba investors wengi kutoka Kenya wamekimbilia Tanzania kuliko nchi yoyote ile duniani?, sasa anayeangalia wapi kwenye pesa ni investors au beggars?, stupid.
 
Wakenya hatuna tabia ya kuwafurusha maskini hohe hahe ati warudi kwao ilhali walifika hapa na ndoto nyingi za kufanikiwa. Sio wabongo tu, bali pia Wakongomani, Wanyarwanda, wa sudani n.k. Watanzania wanajulikana hapa Kenya kwa kuwa beggars, most people wakiona beggar kitu cha kwanza wanafikiri ni Mtanzania. Nakupa tu uhalisia wa mambo, hata urebuff na picha za kibera haitobadilisha ukweli. Kuna mtu alishare video ya beggars toka bongo na bado unawakana maskini. Usiwe hivo, kuwa mwadilifu na uwakubali nduguzo hata kama hawana chochote. Nimesoma article hapa na beggars wako wengi tu sana huko Tanzania, na Mwanza ni kama headquarters. Sasa sijui tukiwa deport hawa walioko huku itakuwaje maanake watajaa mijini kwenu.

Why beggars flock to Mwanza city
hehehe leo naona unatoa povu la omo😀😀😀😀😀😀😀 eti kenya hawana tabia ya kurudisha watu makwao munaongea as if ni watu wazuri sana, kama ni beggars kutoka tanzania wanarudishwa kwao watawezaje kukaa kwenu ilihali hawana official passport au any documents huoni kama ni hatari kwa usalama wenu😛😛😛😛😛😛

tatizo lenu nyinyi hua munataka kuonesha ulimwengu kua hamuna shida wakati munadhiki mpaka kwenye makalio, beggars wakwenu wenyewe ili dunia isiwashangae munasingizia tanzania kwan mangap mazuri ya tanzania munadanganya dunia kua ziko kwenu😀😀😀😀😀😀😀
 
Kusaidia beggars kivipi? Beggars kazi yao ni kubeg yani kuomba omba mitaani. Forget about business in Tanzania, no one knows Tanzania for business. Hilo hakuna atakaye kuamini. Sasa nikishakwambia beggars ni wa bongo tena unaanza kurusha hilo liwe ni kana kwamba shida ni Kenya kwa kuwa na beggars wa kutoka bongo. Maajabu hayo. Kiuhalisia ni kwamba wabongo wengi sana ni maskini hohe hahe na licha ya kubeg tanzania, haiwatoshi kukaa kule maanake hakuna mali ya kutosha inabidi wanaji-export hadi kenya ambako wanajua vizuri tu kuwa Wakenya wana mali kushinds kwao. Hawawezi enda Uganda ama Burndi ama Rwanda maanake wanajua kule hakuna pesa. Kenya is where the money is and they are just following the money.
basi kama ni hivyo kumbe ombaomba wakibongo wanamshiko kuliko maskini wakikenya yaani mpaka wanapata pesa ya tramsport yakuja nairobi
....kwaajili ya kuomba.... aiseee ametisha
 
Back
Top Bottom