thisdayes
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,610
- 4,557
hahahahaa... True word bro, ila ni thread nzuri kama watu waki behave, kwa mfano nimeona kuna watu wanapenda matusi akizidiwa kwa hoja utasikia mamako .... au matako...., sina haja kuwataja ila wana jijua. Kuna ujinga mwengine mtu anatunga data halafu ana insist au kuleta vitu ambavyo havipo. Mnao fanya hayo jaribuni kuacha thread iendelee ku trend kiheshimaGuys we should let each other be now... This will never end and it's only getting childish and more childish..
