kifusi boy
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 1,141
- 1,752
Pic of the day.....
Pic of the day.....
hahaha hii ni picha nimepata tu mtandaoni nikaamua kuleta...kwa mwonekano wao nadhani hawa ni wanyarwanda...wamejaa sana Nairobiasante buda kwa kutuonyesha picha ya sister ako akiwa na boyfriend wake kwa barabara za nai.![]()
wanaija wananikera utapeli tu....wengi wa hao waliopo nai ni maconmen. hakuna hata mmoja mwenye genuine business. watu hatari sana.Hahaha wanaija wamekwama huku Nairobi kwa wingi..... mji wao Lagos umechakaa afadhali hata Dar
We achana kupost sewage anayokunya Colloh Mode anafichua siri za watu huyu mpe [HASHTAG]#Ban[/HASHTAG]Hzo nyumba za block sio za mabati kama hzi mabanda ya nguruwe
View attachment 701384
Naona umekuja kwa gear ya soldierhii thread enyewe imelose meaning......Let everyone stay in their city in peace.

shuawanaija wananikera utapeli tu....wengi wa hao waliopo nai ni maconmen. hakuna hata mmoja mwenye genuine business. watu hatari sana.
nikupe story moja.
hapa dar miaka 10 iliyopita kuna sister mmoja aliwahi kufanyiwa ukora mbaya sana na boyfriend wake mnigeria.
yule sister alitokea kumpenda sana chali. ikafika time wakaanza kuishi pamoja kwa keja ya dem.
mnaija akatumia chance hiyo kuiba document za nyumba ya dem na kutumia kama collateral ya kupata mkopo bank.
bank ilimpatia doo mingi sana, after one week ya kupata pesa, akatokomea zake south africa.
huku nyuma dem akaanza kusumbuliwa na maafisa wa bank kuhusu kurejesha mkopo.
ni story ndefu sana ila kwa ufupi ni kwamba yule dem alishindwa kulipa ule mkopo hatimaye bank wakauza keja via auction ili wafidie pesa yao.
mnaija alimwacha dem na ujauzito...so dem alichanganyikiwa sana mpaka akakaribia kuji-suicide.
hadi hii leo mnaija hajaonekana tz na yule dem sasa hivi anaishi kwa keja ya ku rent.
NB
siku zote ninapo ona manzi wa tz au kenya ana date na mnaija au mcongoman, najua lazima kuna siku atakuja fanyiwa ukora na kuachwa "solemba".
Amsterdam Holland
hatari sana.Amsterdam Holland
ni hatar... ila kwa pale nairobi huwa nachekaga sana kwa jinsi majamaa wa humu wanavyodanganya urefu wa jengo na napoyaona live ni vitu viwili tofauti aisee wana vighorofa vifupi sanaAmsterdam Holland
Kenyan banks would ask the other spouses consent too na kama ni mnigeria watachukua one month kufanya thorough background check ndio apewe mkopo........kwanza they insist so much on a source of income which is verifiable.....wanaija wananikera utapeli tu....wengi wa hao waliopo nai ni maconmen. hakuna hata mmoja mwenye genuine business. watu hatari sana.
nikupe story moja.
hapa dar miaka 10 iliyopita kuna sister mmoja aliwahi kufanyiwa ukora mbaya sana na boyfriend wake mnigeria.
yule sister alitokea kumpenda sana chali. ikafika time wakaanza kuishi pamoja kwa keja ya dem.
mnaija akatumia chance hiyo kuiba document za nyumba ya dem na kutumia kama collateral ya kupata mkopo bank.
bank ilimpatia doo mingi sana, after one week ya kupata pesa, akatokomea zake south africa.
huku nyuma dem akaanza kusumbuliwa na maafisa wa bank kuhusu kurejesha mkopo.
ni story ndefu sana ila kwa ufupi ni kwamba yule dem alishindwa kulipa ule mkopo hatimaye bank wakauza keja via auction ili wafidie pesa yao.
mnaija alimwacha dem na ujauzito...so dem alichanganyikiwa sana mpaka akakaribia kuji-suicide.
hadi hii leo mnaija hajaonekana tz na yule dem sasa hivi anaishi kwa keja ya ku rent huku akihangaika kulea peke yake mtoto aliyeza na yule chali.
NB
siku zote ninapo ona manzi wa tz au kenya ana date na mnaija au mcongoman, najua lazima kuna siku atakuja fanyiwa ukora na kuachwa "solemba".
Ni kweli ilikua uzi mzuri sana lakini utamu nikama umeisha na umebaki kupondana kwasababu hoja zimeisha. Watu wamejifunza mengi kutoka upande zote lakini utaifa kwanza, pride for country exceeds anything...hahahahaa... True word bro, ila ni thread nzuri kama watu waki behave, kwa mfano nimeona kuna watu wanapenda matusi akizidiwa kwa hoja utasikia mamako .... au matako...., sina haja kuwataja ila wana jijua. Kuna ujinga mwengine mtu anatunga data halafu ana insist au kuleta vitu ambavyo havipo. Mnao fanya hayo jaribuni kuacha thread iendelee ku trend kiheshima
Madada wakikenya wamefanyiwa maneno nahao manaija.. ukiingia google utapata madada wakikenya wakiwaonya wezao dhidi ya wanaija..wanaija wananikera utapeli tu....wengi wa hao waliopo nai ni maconmen. hakuna hata mmoja mwenye genuine business. watu hatari sana.
nikupe story moja.
hapa dar miaka 10 iliyopita kuna sister mmoja aliwahi kufanyiwa ukora mbaya sana na boyfriend wake mnigeria.
yule sister alitokea kumpenda sana chali. ikafika time wakaanza kuishi pamoja kwa keja ya dem.
mnaija akatumia chance hiyo kuiba document za nyumba ya dem na kutumia kama collateral ya kupata mkopo bank.
bank ilimpatia doo mingi sana, after one week ya kupata pesa, akatokomea zake south africa.
huku nyuma dem akaanza kusumbuliwa na maafisa wa bank kuhusu kurejesha mkopo.
ni story ndefu sana ila kwa ufupi ni kwamba yule dem alishindwa kulipa ule mkopo hatimaye bank wakauza keja via auction ili wafidie pesa yao.
mnaija alimwacha dem na ujauzito...so dem alichanganyikiwa sana mpaka akakaribia kuji-suicide.
hadi hii leo mnaija hajaonekana tz na yule dem sasa hivi anaishi kwa keja ya ku rent huku akihangaika kulea peke yake mtoto aliyeza na yule chali.
NB
siku zote ninapo ona manzi wa tz au kenya ana date na mnaija au mcongoman, najua lazima kuna siku atakuja fanyiwa ukora na kuachwa "solemba".
no she is wearing a spiderman suit😀😀😀...Is she wearing a garbage bag.??😀
hehe...hao watu ni matapeli wa kimataifawanaija wananikera utapeli tu....wengi wa hao waliopo nai ni maconmen. hakuna hata mmoja mwenye genuine business. watu hatari sana.
nikupe story moja.
hapa dar miaka 10 iliyopita kuna sister mmoja aliwahi kufanyiwa ukora mbaya sana na boyfriend wake mnigeria.
yule sister alitokea kumpenda sana chali. ikafika time wakaanza kuishi pamoja kwa keja ya dem.
mnaija akatumia chance hiyo kuiba document za nyumba ya dem na kutumia kama collateral ya kupata mkopo bank.
bank ilimpatia doo mingi sana, after one week ya kupata pesa, akatokomea zake south africa.
huku nyuma dem akaanza kusumbuliwa na maafisa wa bank kuhusu kurejesha mkopo.
ni story ndefu sana ila kwa ufupi ni kwamba yule dem alishindwa kulipa ule mkopo hatimaye bank wakauza keja via auction ili wafidie pesa yao.
mnaija alimwacha dem na ujauzito...so dem alichanganyikiwa sana mpaka akakaribia kuji-suicide.
hadi hii leo mnaija hajaonekana tz na yule dem sasa hivi anaishi kwa keja ya ku rent huku akihangaika kulea peke yake mtoto aliyeza na yule chali.
NB
siku zote ninapo ona manzi wa tz au kenya ana date na mnaija au mcongoman, najua lazima kuna siku atakuja fanyiwa ukora na kuachwa "solemba".
nadhani kuna some alteration yule mnaija alifanya kwa document.Kenyan banks would ask the other spouses consent too na kama ni mnigeria watachukua one month kufanya thorough background check ndio apewe mkopo........kwanza they insist so much on a source of income which is verifiable.....
.hapo ni bank walichemsha
Nigeria wanasifia wakiona jambo zuri lakin msijidanganye kwamwe mko nao level moja. ..