mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,781
- 6,481
Sijui leo atapata vipi haja kubwa, anapata maumivu makali sana katika rectum yake, huyu nyang'au ana wivu sanaUhahaha nafurah sana kuona maumivu yanavokutesa😀😀😀😀😀😀

Tanzanians deep down your hearts you know your Dar inside out.......that's all.
😀😀😀😀 Wacha waendelee kuokota picha za seiraleone na nigeria waseme darSijui leo atapata vipi haja kubwa, anapata maumivu makali sana katika rectum yake, huyu nyang'au ana wivu sana![]()
![]()
![]()
![]()
Wow kumbe jamii forum😀😀😀😀
Wow kumbe jamii forum😀😀😀😀
Alaf mkenya ndio katengeneza hahahah
Sikiliza dunia wanavosema😛😛😛
View attachment 701390
I have lived in Nairobi for nine good years now lakini sijawahi kusikia kuna mtaa inaitwa river road. Mnajifanya sana mnajua Nairobi ila wengi wenu (the kodadas of this world) husikia tu redioni na kusoma mitandaoni. Desperate danganyikanswakati fulani nikiwa nakatiza katika mitaa ya nairobi CBD, nilishawahi kukutana live na kinyesi cha binadamu.
ilikuwa ni katika mtaa wa river road nyuma au mbele ya zilipo office za mabasi ya dar express na saibaba. haya ni mabasi maarufu ya kitz yanayo safiri kila siku dar to nairobi and vice versa.pia ni mtaa ambao zinapatikana offices za mabasi ya kwenda coast(mombasa).
kwa waliofika nairobi na kulifahamu jiji vizuri bila shaka wanaufahamu mtaa huu wa river road na vibweka vyake.
huu ni mtaa wenye machokoraa wengi na wakora wa kila aina. ni mtaa ambao machokoraa hulala baada ya pilika zao za mchana. wengi wa machokoraa katika mta huu hunya hovyo na kusababisha kuzagaa kwa kinyesi pembezoni mwa kuta za majengo.
this information is true cos nimeishuhudia mimi mwenyewe kwa macho yangu. najua wakenya wanajua ukweli huu, ila kama kawaida yao lazima watatoa povu while in denial.
Kenya ikilaImisha inakuumia nini si wewe ni mtzKenya Railways insists importers must use SGR to transport cargo
Serikali inalazimisha matumizi ya SGR kwa nguvu, japo wafanyabiashara hawaitaki, sasa ndiyo ninaelewa maana ya wakenya kuwa aggressive
hehehe😀😀😀😀😀 mkajua na wabongo mutadawanganya kama watu wa nigeriahii thread enyewe imelose meaning......Let everyone stay in their city in peace.
All those are dar slum photos mainly when u were hit by floodsApart from one picture with that lady who is a TV broadcaster, there is no evidence that those others are from Tanzania, Desperation made some of Kenyans to collect pictures from google and use them here, prove that those are from Tanzania, I promise you, these are not from Tanzania
Endelea kupost picha za IndiaHzo nyumba za block sio za mabati kama hzi mabanda ya nguruwe
View attachment 701384
The two towers
hehehe😀😀😀😀😀 mkajua na wabongo mutadawanganya kama watu wa nigeria
I have lived in Nairobi for nine good years now lakini sijawahi kusikia kuna mtaa inaitwa river road. Mnajifanya sana mnajua Nairobi ila wengi wenu (the kodadas of this world) husikia tu redioni na kusoma mitandaoni. Desperate danganyikans
So if you allow everybody to post anything without evidence, then the meaning of constructive arguments is lost, this forum will be no difference with most of Kenyans forums which most of the time people throw words to each other based on tribe or political divide with no evidences.All those are dar slum photos mainly when u were hit by floods
We have disscussed enough wenye wanataka kuijua Dar watembe wenye wanataka kuja Nai waje... Let's go back to meaningful discussion.hii thread enyewe imelose meaning......Let everyone stay in their city in peace.