Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapa mimi huchoka
Screenshot_20180224-225454.png
 
ran across this TEDx Vienna video from 2011

I wish he could come back now! Almost all public related services are on e-platform or automated.

*Parents not only monitor school attendance of their kids but can now also access periodical performance and final exam results
*Digital data bank and registration of all school age children from ECDE to University for accurate policy planning and education budget allocation
* Daily update on farm produce market price
* Remote medical diagnosis and prescription through mobile apps
* Mobile Voter registration verification and voting reminders
*Mobile traffic updates and which roads to avoid
*e-Citizen: All govt related services online
*Improved M-pesa payment system; retail purchases,utility bills,school fees etc
 
kenya is not ranked the most developed country in africa for nothing brother
 
Magu Magu magugumizi muuaji matata sana anawaua opponents wote wa kisiasa kule bongo ili asiwe na pingamizi kisiasa. Na vichwa maji ziko hapa tu hazijui cha kufanya hata haziwezi demo dhidi ya uongozi mbadhirifu kiasi hicho. Enyewe mnyonge hana haki. Nani atawatetea hawa mazuzu?
 
Magu Magu magugumizi muuaji matata sana anawaua opponents wote wa kisiasa kule bongo ili awe dikteta wa hawa walala hoi. Na vichwa maji ziko hapa tu hazijui cha kufanya hata haziwezi demo dhidi ya uongozi mbadhirifu kiasi hicho. Enyewe mnyonge hana haki. Nani atawatetea hawa mazuzu?
we unafkiri germany ingeendelea pasipokua na siasa kali za adolf hitler au italy ingeendelea pasipokua na siasa kali za benito musolin hehehe tulia awanyooshe kwanza na nyie mkiwemo😀😀😀😀😀
 
Magu Magu magugumizi muuaji matata sana anawaua opponents wote wa kisiasa kule bongo ili asiwe na pingamizi kisiasa. Na vichwa maji ziko hapa tu hazijui cha kufanya hata haziwezi demo dhidi ya uongozi mbadhirifu kiasi hicho. Enyewe mnyonge hana haki. Nani atawatetea hawa mazuzu?

wewe nyang'au mnafiki unadhani dunia haioni mpaka wewe uwe wa kwanza kusema????

nyinyi mmeshakata tamaa na maisha yenu wakenya,thats why mnaweza andamana nchi nzima kifalla falla.bongo huwezi kuta huo upuuzi kila mtu yuko busy shambani au mitkasi zingine.

tukiweka rekodi sawa ni wanasiasa wangapi wameuwawa kenya??,ni rais wenu anhusika kwa namna yoyote??mkafika mbali zaidi kuua mpaka mwenyekiti wa tume ya uchaguzi.halafu bila chembe ya haya unakuja kuandika upupu hapa.
 
we unafkiri germany ingeendelea pasipokua na siasa kali za adolf hitler au italy ingeendelea pasipokua na siasa kali za benito musolin hehehe tulia awanyooshe kwanza na nyie mkiwemo😀😀😀😀😀

Mbona si marekani ama uingereza?? The global leaders wenye kusema

wewe nyang'au mnafiki unadhani dunia haioni mpaka wewe uwe wa kwanza kusema????

nyinyi mmeshakata tamaa na maisha yenu wakenya,thats why mnaweza andamana nchi nzima kifalla falla.bongo huwezi kuta huo upuuzi kila mtu yuko busy shambani au mitkasi zingine.

tukiweka rekodi sawa ni wanasiasa wangapi wameuwawa kenya??,ni rais wenu anhusika kwa namna yoyote??mkafika mbali zaidi kuua mpaka mwenyekiti wa tume ya uchaguzi.halafu bila chembe ya haya unakuja kuandika upupu hapa.

Kama raisi wako ni muuaji wacha excuse pambana nae. Hizo habari zote ulizokariri hapo zinaonyesha jinsi watanzania mlivo limbukeni. Hamjui haki zenu. Wakenya waweza andamana kila siku hadi haki ipatikane si kuamini anachokifanya mtu mmoja. Nina uhakika hata nyie wenyewe mnaogopa kuongelea hayo maneno ya Magu kuwamaliza wapinzani kinyama msijipate pia nyinyi mmealikwa kwenye kalamu ile. Same case na wenye forum hii. Nyie ni waoga na wazembe kimatendo na kiakili.
 
Mbona si marekani ama uingereza?? The global leaders wenye kusema

Kama raisi wako ni muuaji wacha excuse pambana nae. Hizo habari zote ulizokariri hapo zinaonyesha jinsi watanzania mlivo limbukeni. Hamjui haki zenu. Wakenya waweza andamana kila siku hadi haki ipatikane si kuamini anachokifanya mtu mmoja. Nina uhakika hata nyie wenyewe mnaogopa kuongelea hayo maneno ya Magu kuwamaliza wapinzani kinyama msijipate pia nyinyi mmealikwa kwenye kalamu ile. Same case na wenye forum hii. Nyie ni waoga na wazembe kimatendo na kiakili.
Tuliwabia siasa zenu zimo changa sana
 
Back
Top Bottom