Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona si marekani ama uingereza?? The global leaders wenye kusema

Kama raisi wako ni muuaji wacha excuse pambana nae. Hizo habari zote ulizokariri hapo zinaonyesha jinsi watanzania mlivo limbukeni. Hamjui haki zenu. Wakenya waweza andamana kila siku hadi haki ipatikane si kuamini anachokifanya mtu mmoja. Nina uhakika hata nyie wenyewe mnaogopa kuongelea hayo maneno ya Magu kuwamaliza wapinzani kinyama msijipate pia nyinyi mmealikwa kwenye kalamu ile. Same case na wenye forum hii. Nyie ni waoga na wazembe kimatendo na kiakili.

muuaji kamuua nani wewe mbona unahamisha magoli ya huu uzi??magu kamalizaje wapinzani!!!hamna upinzani tz au unaandika kwa hisia za kimapenzi humu??

hakuna mtu anamuogopa magufuli wewe labda nyie wakenya.tofauti ya wakenya na watz ni moja tu nayo uielewe leo,mtz hahitaji siasa cheap kama ya kenya maana hajakata tamaa na maisha,kila fulsa ipo hapa.huwezi pata mteja huku ukiitisha maandamano hata ya kupinga AIDs.
 
FYI, I have 3 Tanzanian fellows under my direct employment right now. Bailed out so many of them out of foreign court systems both financially and in kind.
So no justification for you to call anyone here a vagabond!
Apa mtaani yuko beki tatu mmoja wa kikenya afu msela ,he's doing odds jobs kwa family flan apa..kumbe kingereza ni nite kabisa
 
Mbona si marekani ama uingereza?? The global leaders wenye kusema

Kama raisi wako ni muuaji wacha excuse pambana nae. Hizo habari zote ulizokariri hapo zinaonyesha jinsi watanzania mlivo limbukeni. Hamjui haki zenu. Wakenya waweza andamana kila siku hadi haki ipatikane si kuamini anachokifanya mtu mmoja. Nina uhakika hata nyie wenyewe mnaogopa kuongelea hayo maneno ya Magu kuwamaliza wapinzani kinyama msijipate pia nyinyi mmealikwa kwenye kalamu ile. Same case na wenye forum hii. Nyie ni waoga na wazembe kimatendo na kiakili.
Mlipouliwa 60 wakati wa uchaguzi mlifanya nini, ripoti ya kifo cha Jacob Juma na Msando iko wapi?. Kenya inaongoza Afrika kwa kuuwa wapinzani with impunity.
 
comrades mnamkumbuka siku kadhaa zilizopita mugger mmoja aliandika ujinga kuhusu tz?.

alidai kwamba ati wanigeria hawaizungumzii tz kwasababu watz hatupo active nairaland. smh

huu ndio ujinga alioandika yule mugger.
4481ba9df03bb66b6b9f60e79de79adb.jpg

sasa someni wenyewe kauli ya mnigeria.

kumbukeni huyu ni twitter verified sio yale manigeria maconmen yaliyojificha kwenye mageto ya nairobi.

c356e0ad56da5e767f055820bda7673c.jpg

muggers tunapo waambie muache kutoa povu na porojo huwa hatukosei.shame on you.
Haha Now hakuna ata Mnigeria anazungumzia Kenya. .Walidhan kila siku ij hawa nyumbu
 
Tuliwabia siasa zenu zimo changa sana
Kenya haijawahi kuifikia Tanzania katika kipengele cha demokrasi tangu hizi nchi ziwe huru, mlichinjana 2008 tukawasuluhisha, tukawaambia muige mfumo wa Tanzania wa kuwa na Prime minister, mlipokubali nchi yenu ilitulia, mlipotengeneza katiba mkadhani mtaweza kujiendesha wenyewe, it was wrong mkaanza kuchinjana, viongozi hawaheshimu mahakama wanaitukana hadharani, sasa hivi nchi ina rais wawili, stupid.
 
Mlishindwa kuipiku Kenya in the 90s and 2007/2008 sasa itabidi mgoje miaka kama mia moja...Bye bye LDC
 
However it doesn't occupy 92% of Nairobi like it does in Dar is slum...I mean Kibera is a slum in a city but Dar is a slum city.
Acha pumba zako kijana...kibera this kibera that upuuzi
 
Back
Top Bottom