mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,781
- 6,481
You talk about Dar, we are talking about the whole country to be a failed state92%of dar is slum

HahahahaYou talk about Dar, we are talking about the whole country to be a failed state
Why Kenya could be among failed states
![]()
![]()
![]()
![]()
Utasubiri sana, huwa tukitaka kuona slums dunia nzima inatembelea Kenya, Tanzania hatujawahi kuona slums
Ona jinsi unavyojidhalilisha, hii article inazungumzia Kibera, kwamba is the biggest slums in EA, ambako watalii wanapenda kutembelea, umefanya editing ya Title na kuandika Tanzania, stupid Kenyan. Be informed that Tanzanians don't know and have never seen slums in their life time.
umeanza kutuletea uchafuKericho county..this is litein town the second largest town in kericho county and its 30km from kericho town and 35km to bomet town...70km to kisii town![]()
![]()
![]()
![]()
Kwenye swala laku edit nakuleta fake info mnaongeza. Hicho kipaji mlijaliwa.
Utasubiri sana, huwa tukitaka kuona slums dunia nzima inatembelea Kenya, Tanzania hatujawahi kuona slums![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Why Kenya could be among failed states
HahahahaOna jinsi unavyojidhalilisha, hii article inazungumzia Kibera, kwamba is the biggest slums in EA, ambako watalii wanapenda kutembelea, umefanya editing ya Title na kuandika Tanzania, stupid Kenyan. Be informed that Tanzanians don't know and have never seen slums in their life time.
Slum tours in Dar es Salaam TanzaniaKwann mnasumbua wafanya biasharaaa.. Tafuteni hela mlipe deni sio kusumbua watu![]()
![]()
Hahahaha HahahahaKwenye swala laku edit nakuleta fake info mnaongeza. Hicho kipaji mlijaliwa.
Mwenye hii bĺog ni Mkenya isitoshe yuko humu ndani
Nyie hamjulikani mahali popote..ni midomo 2Kenya haijawahi kuifikia Tanzania katika kipengele cha demokrasi tangu hizi nchi ziwe huru, mlichinjana 2008 tukawasuluhisha, tukawaambia muige mfumo wa Tanzania wa kuwa na Prime minister, mlipokubali nchi yenu ilitulia, mlipotengeneza katiba mkadhani mtaweza kujiendesha wenyewe, it was wrong mkaanza kuchinjana, viongozi hawaheshimu mahakama wanaitukana hadharani, sasa hivi nchi ina rais wawili, stupid.
Pia iyo wanaita cbdLooks like a dump site.
Sindano imekuingia taratibu side effects zake ni povu,kutapatapa na denial...ingia kitandani upate kupumzikaMwenye hii bĺog ni Mkenya isitoshe yuko humu ndani
Even me i can do that. Stop playing us as if we are fools
Ndiyo CBD yao hata kando ya PPF towers kuna rusty slums zinaizunguka.Pia iyo wanaita cbd
Mnajitekenya nakucheka wenyewe. Nisawa na mimi nikuletee info kutoka kwenye blog ya Tanzania which almost every IT student in TZ own the so called blogSindano imekuingia taratibu side effects zake ni povu,kutapatapa na denial...ingia kitandani upate kupumzika