Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wengi wao wanaamka asubuhi kwenda kupiga maround "tao" for nothing na kufanya window shopping.

ikifika mida ya lunch utakuta wamejilaza kwa public garden za
CBD wakitafakari vile siku itaisha.

FYI, I have 3 Tanzanian fellows under my direct employment right now. Bailed out so many of them out of foreign court systems both financially and in kind.
So no justification for you to call anyone here a vagabond!
 
4cdaa981a580866fcb476f7f9e5985c2.jpg
wanakazana unplanned unppanned hawajui hawa
 
comrades mnamkumbuka siku kadhaa zilizopita mugger mmoja aliandika ujinga kuhusu tz?.

alidai kwamba ati wanigeria hawaizungumzii tz kwasababu watz hatupo active nairaland. smh

huu ndio ujinga alioandika yule mugger.
4481ba9df03bb66b6b9f60e79de79adb.jpg


sasa someni wenyewe kauli ya mnigeria.

kumbukeni huyu ni twitter verified sio yale manigeria maconmen yaliyojificha kwenye mageto ya nairobi.

c356e0ad56da5e767f055820bda7673c.jpg


muggers tunapo waambie muache kutoa povu na porojo huwa hatukosei.shame on you.
 
FYI, I have 3 Tanzanian fellows under my direct employment right now. Bailed out so many of them out of foreign court systems both financially and in kind.
So no justification for you to call anyone here a vagabond!
porojo hiyo. kadanganye mayouth wenzako wa dandora.
 
Manispaa yenu naskia inakua kwa kasi mmefika 2.5M ujue iyo ni pop ya mkoa uku Tz. ....
Nyang'au atabaki kua Nyang'au tu
Hiyo ni kidogo sana mdanganyika. The exact population ni 10 million
 
Back
Top Bottom