Manzese imepitia upgrading scheme ambayo pia imefanyika tandale mpaka ubungo-kibangu
Sisi Tanzania hatufanyi kumfurahisha MTU.. Tunafanya kuwasaidia wananchi kuondokana na umasikini na hali duni.
Kilichofanyika Manzase kwanza ilikuwa kuongeza accessibility.. Barabara ndogo nyingi zilikuwa proposed na zimeendelea kujengwa taratibu na serikali..
Pili kuwapimia watu viwanja na kuwamilikisha kisheria.. In return watu wameweza kukopa na kujenga majengo ya kudumu maana wana hakika na uwekezaji wao.
Tatu kumekaribisha huduma nyingi Leo kuna maofisi yako manzese .. Kuna huduma chungu mbovu za kijamii ziko.manzese.. Na nyumba kwa sehemu kubwa zinaendelea kuboreka sana.
Kwa kifupi kuona mabadiliko yake inabidi uangalie kwa ukaribu.. Lakini ni resettlement ya manzese na tandale ndio iliyo zaa sinza. Kama resettlement ya jangwani ilivyozaa mabwepande au kipawa ilivyozaa new kipawa.
Kitu kingine naona kinatuchanganya hasa watu wa battle hii tunaongelea vitu bila context. Mfano Nairobi in approx. 2.5 m people occupying only 6% of Nairobi land.
Dar has close to 70% of its land not surveyed. For lack of better terms all are called informal settlements .. But if you dig deeper ndio unajua how different we are.
The worst slums zinashida ifuatayo.. Watu hawana maeneo ya kutosha kuishi, wanakosa vyoo, hwana access roads, hawana huduma za kijamii kama shule, hospitali, masoko, Usafiri Wa umma, Umeme maji nk.. Majengo yao yamejengwa kwa inferior material..na neighborhood zao shughuli za kiuchumi sio sustainable.
Sasa hebu niambie wapi in dar pako katika hali hiyo niliyoitaja hapo juu. Without missing a single attribute. To save you time bro.. Hakuna.. Watakosa kimoja au viwili and most of times there is a room to change if investment is available..
For slums in Kenya.. 2.5m people in 6% of land means these people just to have enough land to live in.. Nairobi needs at least a quarter of its land to resettle these people. For a starter. And there after ndio waande improvement. Otherwise it will remain over crowded and slum in just better houses.