Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

you know what_ i realized we do have a lot of nairobi videos and videos show better than images so guys check them out.
 
Found this one from dar and its stunning too i must say, for those who have been to mombasa it kina has the same feeling.impressive.
 
.7000 bed capacity KU hospital is almost ready......muhimbili hata haitoi Moi referral hospital jasho
Muhimbili ipo level ya Karen na Nairobi katika ubora wa Huduma, japo kwa capacity Muhimbili ni kubwa zaidi, infact kwa vifaa na huduma za kibingwa, Muhimbili is much better than Karen and Nairobi, kama unabisha lete horodha ya procedures zilizofanyika tulinganishe na zilizofanyika Muhimbili. Hii Mlogazila is of its kind in East and Cetral Africa, none can be comparable.
 
There was a plan to upgrade manzese and tandale by then, bt I didn't here anyprogress so far until today...you see the area is so close to city centre ..

Nataman sana wangepaendeleza lakini wakaazi waliowengi sidhan kama wapo tayar kuachia eneo kirahisi, inahitajika ushawishi mkubwa
Manzese imepitia upgrading scheme ambayo pia imefanyika tandale mpaka ubungo-kibangu

Sisi Tanzania hatufanyi kumfurahisha MTU.. Tunafanya kuwasaidia wananchi kuondokana na umasikini na hali duni.

Kilichofanyika Manzase kwanza ilikuwa kuongeza accessibility.. Barabara ndogo nyingi zilikuwa proposed na zimeendelea kujengwa taratibu na serikali..

Pili kuwapimia watu viwanja na kuwamilikisha kisheria.. In return watu wameweza kukopa na kujenga majengo ya kudumu maana wana hakika na uwekezaji wao.

Tatu kumekaribisha huduma nyingi Leo kuna maofisi yako manzese .. Kuna huduma chungu mbovu za kijamii ziko.manzese.. Na nyumba kwa sehemu kubwa zinaendelea kuboreka sana.

Kwa kifupi kuona mabadiliko yake inabidi uangalie kwa ukaribu.. Lakini ni resettlement ya manzese na tandale ndio iliyo zaa sinza. Kama resettlement ya jangwani ilivyozaa mabwepande au kipawa ilivyozaa new kipawa.

Kitu kingine naona kinatuchanganya hasa watu wa battle hii tunaongelea vitu bila context. Mfano Nairobi in approx. 2.5 m people occupying only 6% of Nairobi land.

Dar has close to 70% of its land not surveyed. For lack of better terms all are called informal settlements .. But if you dig deeper ndio unajua how different we are.

The worst slums zinashida ifuatayo.. Watu hawana maeneo ya kutosha kuishi, wanakosa vyoo, hwana access roads, hawana huduma za kijamii kama shule, hospitali, masoko, Usafiri Wa umma, Umeme maji nk.. Majengo yao yamejengwa kwa inferior material..na neighborhood zao shughuli za kiuchumi sio sustainable.

Sasa hebu niambie wapi in dar pako katika hali hiyo niliyoitaja hapo juu. Without missing a single attribute. To save you time bro.. Hakuna.. Watakosa kimoja au viwili and most of times there is a room to change if investment is available..

For slums in Kenya.. 2.5m people in 6% of land means these people just to have enough land to live in.. Nairobi needs at least a quarter of its land to resettle these people. For a starter. And there after ndio waande improvement. Otherwise it will remain over crowded and slum in just better houses.
 
Maelezo yako mazuri sana na kiuhalisia kuna tofauta kati ya slums na unplanned settlements, kihulisia zinamaana mbili tofaut wakenya wengi wameshindwa kuelewa wao wanafkiri dar kuna slums kumbe hawajui its just a partially unplanned settlement
 
Ni kazi sana kumuelimisha mtu asiyetaka kujifunza. Nadhani sisi viwanja vidogo kabisa ni sq.m 200 hii ni adequate space to live. ukialinganisha na dharavi (India) waliopropose 120sq.m hatuonekani kwenye worst slums in the world for a reason.

Kama ours was that vast.. 70% of dar.. Unaongelea over 3.5 milion people.. In slums ingekuwaje hii dar.. Kama 250k ya kibera inaleta matata afrika nzima?!
 
You know these Nairobi slum populations are exaggerated for Ngos to stay in business and keep the funds coming.......they have literally exaggerated all of them 10 times.................I dare any Dar resident to give .....there is an article saying 700k people in Nairobi live in informals.....but this one says 2.5 million.....the truth is that in Nairobi the slums are rarely visible even in aerial views.
 
Back
Top Bottom