Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Comment za Watazamaji
b5ba320433eda75ca2509e9c6d8781eb.jpg
This is unbiased and informed opinion, Nairobi hoi bin taaban. Mzungu ame close case
 
Rita tower ni meter ngapi?
Halafu kumbe waniletea vitu vya 23flrs?!?! lol 😀
Mbna mgumu hvyo kuelewa wewee
Rita tower ni 30flr
Ninachosemea ni kuwa TPA na PSPF zinaonekana ndefu sana kwakuwa ziko ukanda ambao gorofa inayofata ni 23flr ndo maana zinaonekana ziko juu sana
Ni kama ujenge nyumba ambayo pembeni yake kuna gorofa la 13flr nyumba yako itaonekana dwaf tu
Nyie majengo yenu ni mafupi ndo maana ata I&M Bank(18flr)
Linaonekana kwenye skyline
 
zoom mwenyewe picha ujionee
hzo zilitoka kama geresha by the way fro dar to morogoro kutakua na station 6 na from moro to dodoma kutakua na station 10 so hapo zimetimia 16???? usilazmishe kitu ambacho hakipo tulia baba😀😀😀😀😀

na stations ya pugu tayar design yake ishapitishwa wata release karibuni sana
 
post hapa Rita Tower nihesabu mimi mwenyewe flrs zake. kisha uniambie urefu wake ni meter ngapi. uongo utaacha wewe
 
hzo zilitoka kama geresha by the way fro dar to morogoro kutakua na station 6 na from moro to dodoma kutakua na station 10 so hapo zimetimia 16???? usilazmishe kitu ambacho hakipo tulia baba😀😀😀😀😀

na stations ya pugu tayar design yake ishapitishwa wata release karibuni sana
sijakuuliza station zitakua ngapi ila hizo ndio the main stations. ama wewe wafkiri sisi pia tuko na stations ya Msa na Nbo pekee?! akili kichwani....
 
Back
Top Bottom