Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wazee Kibera inatishaa
Hivi kwa nin akina Mzee Kenyatta na Moi waliruhusu uwazi mkubwa kiasi hiki kati ya tajiri na masikini. Kwa kweli ujamaa japo una mapungufu yake lakini umetupa manufaa makubwa sanaa
Hivi ujiulize kwanza maswala za huku kwenu. Daah!
 
Attachments

Manzese imepitia upgrading scheme ambayo pia imefanyika tandale mpaka ubungo-kibangu

Sisi Tanzania hatufanyi kumfurahisha MTU.. Tunafanya kuwasaidia wananchi kuondokana na umasikini na hali duni.

Kilichofanyika Manzase kwanza ilikuwa kuongeza accessibility.. Barabara ndogo nyingi zilikuwa proposed na zimeendelea kujengwa taratibu na serikali..

Pili kuwapimia watu viwanja na kuwamilikisha kisheria.. In return watu wameweza kukopa na kujenga majengo ya kudumu maana wana hakika na uwekezaji wao.

Tatu kumekaribisha huduma nyingi Leo kuna maofisi yako manzese .. Kuna huduma chungu mbovu za kijamii ziko.manzese.. Na nyumba kwa sehemu kubwa zinaendelea kuboreka sana.

Kwa kifupi kuona mabadiliko yake inabidi uangalie kwa ukaribu.. Lakini ni resettlement ya manzese na tandale ndio iliyo zaa sinza. Kama resettlement ya jangwani ilivyozaa mabwepande au kipawa ilivyozaa new kipawa.

Kitu kingine naona kinatuchanganya hasa watu wa battle hii tunaongelea vitu bila context. Mfano Nairobi in approx. 2.5 m people occupying only 6% of Nairobi land.

Dar has close to 70% of its land not surveyed. For lack of better terms all are called informal settlements .. But if you dig deeper ndio unajua how different we are.

The worst slums zinashida ifuatayo.. Watu hawana maeneo ya kutosha kuishi, wanakosa vyoo, hwana access roads, hawana huduma za kijamii kama shule, hospitali, masoko, Usafiri Wa umma, Umeme maji nk.. Majengo yao yamejengwa kwa inferior material..na neighborhood zao shughuli za kiuchumi sio sustainable.

Sasa hebu niambie wapi in dar pako katika hali hiyo niliyoitaja hapo juu. Without missing a single attribute. To save you time bro.. Hakuna.. Watakosa kimoja au viwili and most of times there is a room to change if investment is available..

For slums in Kenya.. 2.5m people in 6% of land means these people just to have enough land to live in.. Nairobi needs at least a quarter of its land to resettle these people. For a starter. And there after ndio waande improvement. Otherwise it will remain over crowded and slum in just better houses.
Umejieleza vizuri sana kuhusu tanzania... Kunajamba hamjui kuhusu Kenya slum and the population. Slums in Kenya population zao zili exaggeratiwa na NGO's ili waweze kutengeneza more cash from them.https://www.google.com/url?sa=t&sou...BhAB&usg=AOvVaw1n5RPTnrYzXASn7qX1O4yY&ampcf=1
currently Kibera has the highest number of NGO's ler square mile the world.
https://www.google.com/url?sa=t&sou...FjAAegQIBxAB&usg=AOvVaw0L1-nRTFvG65vRzVOZrtdI..

In 2009 Census kibera had a population of 171k people only and not the millions as claimed by NGO's. Independent researchers were also disputing the figures prior to the Census.
https://www.google.com/url?sa=t&sou...AhAB&usg=AOvVaw2GbyoirGM4lOmZJz7Pomkb&ampcf=1
 
madini yetu yamekamatwa kenya yakitoroshwa nje ya nchi bila kufata taratibu za forodha.

asante polisi wa kenya. ila msije mkakwiba hayo madini na kupoteza ushahidi.
2f0b971e9509db8458f42364fde350ff.jpg
hiyo sasa ni mali ya Kenya....mkuu wa polisi Jaji na waziri watagawana
 
Umejieleza vizuri sana kuhusu tanzania... Kunajamba hamjui kuhusu Kenya slum and the population. Slums in Kenya population zao zili exaggeratiwa na NGO's ili waweze kutengeneza more cash from them.
kwanza wawazie watu wa kibera wanaishi 2.5 m people in a 6.6 km sq area hahah 😀😀😀😀😀
 
Why are you always arrogant man. Naonyesha kuwa yeah kuna sehemu nzuri dar na bado wapiga kelele kama mburukenge, ama hukuelewa nilikuwa namaanisha nini? Sometimes unafaa kuwa rralistic pia kidogo, useme ndio kuna sehemu nzuri za hii jiji sio ati kila saa oo mko chini sijui nini... Wewe hata umeangalia hizo video za nairobi ambazo nilituma?
Siwezi nikaangalia uchafu Wa Nairobi Slums Extremely Poverty yani shida tupu.. Nenda tena YouTube andika Masaki, Oysterbay, mbezi beach, msasani, Kigamboni ili ujue Dar ilivyojengeka.. Sio Nairobbery sehem nzuri ni CBD tu
 
Bati ndo roof tunazotumia Tanzania na nyumba zetu zipo kama kwenye hizi picha. Na apartment Dar zipo nyingi sana za kila aina.
1dd51bdc097a5603cccd2198a545d2b0.jpg
eb73b7b914e201a50b2e55a2f25a7077.jpg
80aa3ffdd28487d89b4d5898e9ca0752.jpg
fd3691382dd8e655b025159f13160e91.jpg
cdc819e766c699a1f029bdac5842252a.jpg
fbef88582aec956ee0997e370821a40d.jpg
522adf7af483477598f745ab91447808.jpg
ae6d05013ff4f828d863f21bb76a4860.jpg
0068060675cb8009108e31c6a963980c.jpg
9e13e72d06317bccb3e6fee02b4810cc.jpg
20b72eba3e3b05d08d6b152242f22f7e.jpg
c3e8a82474196aba619eb0d35ad9522d.jpg
2adbb04ad07fca108f65613f4774c1eb.jpg
d32f94e7ab30de836a571e7cec69e6bb.jpg
0bf8d5f9bc30e3852d2d3b6214bd1aa0.jpg
5d6130e9a6b494c3dd284c3e4e065f3c.jpg
f8e25b54123149b2f5498ffd576d6977.jpg
Hahaha....kwa apartments hata Nakuru imewatosha.........Nairobi is neck to neck with Miami and Singapore
 
hiyo sasa ni mali ya Kenya....mkuu wa polisi Jaji na waziri watagawana
huo ndio ukweli. sidhani kama tz itapata kitu hapo.nadhani mtatumia tukio hili kulipiza baada ya kuuza ng'ombe zenyu na kuchoma vifaranga.

but sijui kwanini, nahisi ni kama hoax. nahisi ni kama tukio la kutengeneza ili kuitikisa tz. acha tusibiri tuone mwisho wa hii movie.
 
Manzese imepitia upgrading scheme ambayo pia imefanyika tandale mpaka ubungo-kibangu

Sisi Tanzania hatufanyi kumfurahisha MTU.. Tunafanya kuwasaidia wananchi kuondokana na umasikini na hali duni.

Kilichofanyika Manzase kwanza ilikuwa kuongeza accessibility.. Barabara ndogo nyingi zilikuwa proposed na zimeendelea kujengwa taratibu na serikali..

Pili kuwapimia watu viwanja na kuwamilikisha kisheria.. In return watu wameweza kukopa na kujenga majengo ya kudumu maana wana hakika na uwekezaji wao.

Tatu kumekaribisha huduma nyingi Leo kuna maofisi yako manzese .. Kuna huduma chungu mbovu za kijamii ziko.manzese.. Na nyumba kwa sehemu kubwa zinaendelea kuboreka sana.

Kwa kifupi kuona mabadiliko yake inabidi uangalie kwa ukaribu.. Lakini ni resettlement ya manzese na tandale ndio iliyo zaa sinza. Kama resettlement ya jangwani ilivyozaa mabwepande au kipawa ilivyozaa new kipawa.

Kitu kingine naona kinatuchanganya hasa watu wa battle hii tunaongelea vitu bila context. Mfano Nairobi in approx. 2.5 m people occupying only 6% of Nairobi land.

Dar has close to 70% of its land not surveyed. For lack of better terms all are called informal settlements .. But if you dig deeper ndio unajua how different we are.

The worst slums zinashida ifuatayo.. Watu hawana maeneo ya kutosha kuishi, wanakosa vyoo, hwana access roads, hawana huduma za kijamii kama shule, hospitali, masoko, Usafiri Wa umma, Umeme maji nk.. Majengo yao yamejengwa kwa inferior material..na neighborhood zao shughuli za kiuchumi sio sustainable.

Sasa hebu niambie wapi in dar pako katika hali hiyo niliyoitaja hapo juu. Without missing a single attribute. To save you time bro.. Hakuna.. Watakosa kimoja au viwili and most of times there is a room to change if investment is available..

For slums in Kenya.. 2.5m people in 6% of land means these people just to have enough land to live in.. Nairobi needs at least a quarter of its land to resettle these people. For a starter. And there after ndio waande improvement. Otherwise it will remain over crowded and slum in just better houses.
Well then let's put things into perspective then, we'll Kibera has a population of around 300,000 people and it is the largest. That means there is an exaggeration of figures somewhere or under reporting. Relocating is done in phases and wouldn't be a challenge because a phase has been done smoothly before. But objectivity is not used in debates here so anything goes.
 
Kenyans, yesterday I was shocked to learn something. I had a business meeting with acertain CEO of a new company that has set up processing plant in Tz, they have started penetrating the Kenyan Market. The guy is from the Scandinavian country and the company is also from the same region. So I asked him why Tz and he said cause of the communism relationship that is why they chose the country..

Now what struck me was that the CEO is Incharge of Africa and he lives in Nairobi, He told me most CEO's running companies in Tz have homes in Nairobi..

Not only do there good musicians love Kenya..
 
porojo at it best.
 
nonsense as usual😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom