Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hizo ni link karibu 7..zote zinaimba wimbo moja....panapo na moshi pana moto...Kenya is the champion...
 
mjinga mwingine amekimbia nairaland kutafta comments zinazohusu Kenya ili alete hapa😀😀😀😀huwa nashangazwa sana na hawa bongolala...mtu mzima mbona kajikosa heshima hivi...jamaa nina uhakika ana miaka karibu 40 ila akili za teenager😀😀😀
Hiyo ni aibu yenu wakenya upumbaafuu wenu hadi wanigeria wanawajua
 
Mibongo kwa akili zao watakuambia mission za Congo na msumbiji ni sawa na ile ya somalia, ni wazi tunadeal na watoto hapa. I give up
Ukiambiwa jambo jiongoze.....vita ni vita tu....hebu improve ili ueleweke na si maneno mengi tupe fact jinsi jeshi lenu lilivyo na uzoefu na mmepigana vita ngapi za Alone nikimaanisha kuwepo uwanja wa vita bila ushirika wa mataifa mengine na mmepigana vita ngapi mkijumuisha na shirika wa mataifa mengine ?...kisha nipe result ya ushindi wa hivyo vita mlivyopambana


Usitoe macho kama chura aliyebanwa na mlango..maana haukawii kukimbilia rank za kwenyesoft paper hebu jibu hayo
 
6640.jpg
 
Back
Top Bottom