Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

your cabinet secretary for tourism,najib balala, cares a lot about tanzania.

9f3a9e447026c329fe088da221a8bb3e.jpg
Sasa hizo world class hotels wanazoshinda kutwa nzima.. Usiku kucha humu JF wanazipost ziko wapi.. Ikiwa waziri anaonya juu ya ukosefu?!
 
Ndiyo maana tunawaita rojorojo nyie ama Mmelegea sana mnaogopa kuchinjwa vichwa mwana jeshi yeyote ni risk ndiyo maana wanakula kiapo.....

Jeshi lenu halina power....kiuhalisia
mimi kama raia naogopa...ila wanajeshi wetu wanajua kilichowapeleka kule na sio kusoma gazeti au kuvaa marinda..wanafaham hatari iliomo kule...ila wanajeshi wa tz wamkwamia darisalam wanaogopa wanasahau kuwa hii ndio fursa mwafaka wa kujipatia experience ya battle field
 
kinachowaweka kule pengine ni warembo tu...ila Tanzania haiwezi kuwa na fursa zaidi ya Kenya katika nyanja za biashara...tayari tunaongoza katika biashara ukanda huu...na nimkuuliza kilichokuleta kenya ni nini? mbona unakwepa swali langu?
Kama ni warembo ndiyo mnawafuata na sibiashara na mnaongoza kwa biashara...

Swali linakuja hivi kwanin muongoze kuwa na unemployment?
 
South Africa wanaongoza bara la afrika kwa biashara na uchumi....hebu nenda ukatafte unemployment rate ya Afrika Kusini...ni hio hio tu ya Kenya...tz mnaweza kuwa na kazi ila ni kazi za chini zisizo na umuhimu wowote...sie tunasaka quality jobs haswaa katika nyanja za services na manufacturing...
 
Acha kulinganisha South Africa wakati unajua nini kimetokea huko, sasa hivi serikali na ANC inapambana kurekebisha kurudisha evonomic freedom kwasababu hadi sasa bado black hawajawa free economically, je Kenya na ninyi mna hilo tatizo?
 
una fananisha congo na somalia...kwani una kinyesi kichwani? walete hao wanajshi wenu somali bas tuone watakachofanya
Kama watz wakileta huko somalia commandos mia 3 tuu hao al shabab watapotezwa ndan ya mwez mmoja tu trust m...we have a well trained soldiers i mean well trained cio hao wenu wanapigwa risasi na vipolice..idiots
 
South Africa wanaongoza bara la afrika kwa biashara na uchumi....hebu nenda ukatafte unemployment rate ya Afrika Kusini...ni hio hio tu ya Kenya...tz mnaweza kuwa na kazi ila ni kazi za chini zisizo na umuhimu wowote...sie tunasaka quality jobs haswaa katika nyanja za services na manufacturing...

Kenya has also employed 100000 omba ombas from bongo
 
kinachowaweka kule pengine ni warembo tu...ila Tanzania haiwezi kuwa na fursa zaidi ya Kenya katika nyanja za biashara...tayari tunaongoza katika biashara ukanda huu...na nimkuuliza kilichokuleta kenya ni nini? mbona unakwepa swali langu?
usiulize kilicho nileta, uliza kinachonileta kenya ni nini maana kila mara huwa nakuja huko. hata last year around november nilikuwa county fulani huko kwenyu.

siwezi kusema kinachonileta kenya...i'm not allowed to do so. it something sensitive for the benefit of my country.
 
hahahaha sawa mzee
 
South Africa wanaongoza bara la afrika kwa biashara na uchumi....hebu nenda ukatafte unemployment rate ya Afrika Kusini...ni hio hio tu ya Kenya...tz mnaweza kuwa na kazi ila ni kazi za chini zisizo na umuhimu wowote...sie tunasaka quality jobs haswaa katika nyanja za services na manufacturing...
Hakuna mafanikio yanakuja tu kiwepesi wepesi.....lazima mtu uanze chini....ndiyo upafikie juu kama unasaka quality job kwa kutegemea ajira ya kuajiliwa......mtasugua sana benchi sikutegemea kama ungenijibu jibu la kitoto kiasi hicho....yaani unadhihirisha ni jinsi gani jamii yakikenya ilivyo lazy....umenifurahisha sana mzee wa quality job endeleeni kuitafuta kumbe idadi yote hiyo ya wakenya walio unemployment wanatafuta quality job....

Kweli hii ni tofauti kwa wakenya yaani haba na ha haba kwenu haijazi kibaba....endeleeni kuitafuta hiyo quality job itakuja
 
yaani mnasubiri kutunyorosha katika utalii 2013??? na hata hivyo ni baada ya swala la ugaidi...kwani mlirogwa nyie au? sababu mna vivutio chungu nzima...yaani nammshukuru sana Magu....angalau amewafufua kwani mlikuwa katika usingizi wa pono wakati wa JK na BM
 
mimi kama raia naogopa...ila wanajeshi wetu wanajua kilichowapeleka kule na sio kusoma gazeti au kuvaa marinda..wanafaham hatari iliomo kule...ila wanajeshi wa tz wamkwamia darisalam wanaogopa wanasahau kuwa hii ndio fursa mwafaka wa kujipatia experience ya battle field
Kwa mbinu bora Zaknowvita na uwezo wenye akili hamuifikii tz hata robo kwa upande wakikeshi.....yaani huo ndiyo ukweli tunauzoefu zaidi yenu na hata kuwatwanga tunaweza kuwatwanga bila yakutumia silaha za moto...

Yaani we ukatae tu ila ndiyo ukweli....nyie endeleeni kupiga domo....kimya kimyeni hatutaki sifa Zakijinga....
 
usiulize kilicho nileta, uliza kinachonileta kenya ni nini maana kila mara huwa nakuja huko. hata last year around november nilikuwa county fulani huko kwenyu.

siwezi kusema kinachonileta kenya...i'm not allowed to do so. it something sensitive for the benefit of my country.
Hata usingeongea hivyo majinga hayo na hayajui watz wangap huko kwao wanaingia kwa mbishe serious temana nayo
 
Nyinyi mlikua muwapee wanajeshi wa somalia mafunzo alshabab wakawaonya mkaingiza mikia katikati ya miguu tutolee ujinga hapa
 
Ulishawai jiuliza y wasomalia waliomba mafunzo ya tz na sio ya kenya...???
Afu ushajiuliza y tulikataa kuja kutoa mafunzo somalia???? Ungekua na akili ungejua bt sababu we ni kilaza hamna haja ya kukuelewesha..
 
usilo lijua ni kama usiku wa giza.

iko hivi kijana, somalia ni nchi ambayo tz haina interest nayo, hatuna kitu ambacho tz inaweza ku-profit toka somalia, iwe kiuchumi au kijamii.

hiyo ndiyo sababu iliyofanya jwtz iache mpango wa ku-train jeshi la somalia, but we might be doing so covertly, who knows, kumbuka tz ni nchi iliyojengwa katika mifumo ya kijamaa, we do our thing in a secrecy way. we speak through actions.
achana kabisa na tz kwenye mambo ya kijeshi... chukua maneno yangu kijana.
 
Ulishawai jiuliza y wasomalia waliomba mafunzo ya tz na sio ya kenya...???
Afu ushajiuliza y tulikataa kuja kutoa mafunzo somalia???? Ungekua na akili ungejua bt sababu we ni kilaza hamna haja ya kukuelewesha..
Tena huyo ni zaidi ya kilaza huyo ni kilazwa....maana hilo jeshi lao halina hata historia ya ukombozi wa kukomboa nchi ya africa hata moja
Ila cha ajabu watakuja nakusema kenya iki rank kwa kuwa na jeshi bora africa
 
Back
Top Bottom