Sasa unataka Tanzania ipeleke jeshi Afrika nzima?, Msumbiji, Zimbabwe, Namibia, Angola, South Africa, Seychelles, Commoro, Uganda, DRC, kote huko tumepeleka jeshi, sehemu nyingi tulikua peke yetu, ninyi mlikua mnaliwa tigo na wazungu, hata Somalia pia mnataka hadi Tanzania tuwepo wakati kuna nchi zaidi ya sita zikipigana na Alshabaab?, kama mnataka Tanzania tuje huko Somalia, basi nchi zote zitoke Somalia tuingie sisi wazee wa kazi"African liberation army, TPDF"
Sent from my MediaPad T1 8.0 using
JamiiForums mobile app