ifikie hatua ujitambue sasa,hivi unafikiri kenya inapata faida gani ikijulikana na nigeria???
hii tabia ya kujipitisha pitisha wakenya ipo damuni,mna vihere here sana nyinyi.mmeathirika sasa mpaka kujiaminisha kwamba kila kizuri kinapatika kwa wazungu na kenya tu,the best shit of bla bla.she super f*ck sjui what and so..ili iweje.
juzi simba dume wampigwa picha waki sex kenya,mlivyo mapopoma mkaona hewalaaaa hii nayo ni headline wacha twende nayo media.
unataka tutajwe na nigeria kwa biashara gani!!!???hao wapopo mnaendana akili ndio maana nao ni kelele nyingi na kujisikia.