mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,066
- 39,512
hivi hilo bwawa hapo haiwezi supply maji nairobi au imewekewa kwa ajiri ya kupigia picha???
Nimekuuliza maswali haujibu unaleta link zisizo na tija...ndiyo maana nakuambia huna factsasa mimi naleta links wewe unaongea tu kisha unaniambia mi sina facts? haha
Top 10 African Countries With The Best Military - AfrikanFacts.com
Ndiyo maana unaambiwa hauijui tz na hauijui history ya africa...Na nyie mlipigana wapi na dhidi ya nani?
Hawa wa huku ni wale panya road wa nairobiwanakwambia wananunua kwa hela zao.
ila wakenya wa jf sijui hata nursery kama wamehitimu.
Ww unatakia ujifinze kitu, nchi nyingi zilizotokea kwenye socialism huwez kuzijua kirahisi mambo yake kiundani, hebu nambie nani alijua kama north korea yuko vzr kijeshi nani alijua, so tanzania ina siri kubwa sana ndio maana hata nchi tumejenga kimya kimya sana mmekuja kushtuka mabadiliko makubwa sana munaanza kutoa kamasi midomoniTop 10 strongest military countries in
Africa
1. Egypt
2. Algeria
3. Ethiopia
4. SA
5. Nigeria
6. Kenya
7. Morocco
8. Tunisia
9. Angola
10. Libya
HEHEHE kumbe gazeti la lenya😀😀
Dar es salaam ni mbovu jamani . ..ni uchafu gani huuView attachment 696265 View attachment 696266 View attachment 696267 View attachment 696268 lazima tukubali tu kuwa dar es salaam inabadilika kila siku.
hakuna bwawa pale, ni mechezo tu ambayo inafanywa kwa kutumia software za graphics design kama photoshop n.k.hivi hilo bwawa hapo haiwezi supply maji nairobi au imewekewa kwa ajiri ya kupigia picha???
We kumbe hamna bwawa pale Uhuru park basi sitakuja mwamini mkenyahakuna bwawa pale, ni mechezo tu ambayo inafanywa kwa kutumia software za graphics design kama photoshop n.k.
nairobi ingekuwa na waterbody yenye ukubwa namna ile dunia yote ingejua.
Kwenye maneno 10 ya mkenya chukua moja tu uondoke zako😀😀😀😀😀We kumbe hamna bwawa pale Uhuru park basi sitakuja mwamini mkenya
Unaongea na mtu yupo huko turkana hajawahi hata fika Nairobi ..anaelewa nini unadhani?.. Save your breath my brother. and Enjoy Tanzania ...BARDIIIIIII. 🙂We kumbe hamna bwawa pale Uhuru park basi sitakuja mwamini mkenya
kibwawa cha uhuru park ni kidogo sana, nina wasiwasi ni man made kile.We kumbe hamna bwawa pale Uhuru park basi sitakuja mwamini mkenya
Unaongea na mtu yupo huko turkana hajawahi hata fika Nairobi ..anaelewa nini unadhani?.. Save your breath my brother. and Enjoy Tanzania ...BARDIIIIIII. 🙂

fake, photoshop at work.