Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The problem with you guys you hate writen facts when is not on your side...

DAR ipo coast which is very flat Nairobi is on ahigher altitude hence you can't see all the buildings kama Dar ama mombasa...
Mombasa ya nn haina kitu
 
When i remember 10yrs back wakenya walivokua na dharau na matusi dhidi ya tanzania leo siamini wamekua wapole kama maji mtungini ama kweli siku hazigandi😀😀😀😀

Dar ya leo sio ile ya 90s 😛😛😛
 
see this guys!!!!

so 90 dar iwe na 29 only.
et
😀😀😀
ndio maana wakiambiwa watumane list yao over 20+ flrs wanakimbiana, hawaonani, ati ''we anza'', ''hapana mi naogopa, anza wewe kwanza'' 😀😀😀
Aye!!! I give up!!!
 
SSC inawatanzania wengi wenye marifa kuhusu Tz na wanachangia sana..

SSC haina utoto mwingi ulio hapa

mtz ambaye hajishughulishi na kutambulisha idadi fasaha ya watu nchini kwake,unamuweka ktk kundi la watu perfect kujadiliana nao chochote!!!!

ukimwambia mt kilimanjaro iko ethiopia hatakubishia pia.and those are the kind of peple you wanna see from tz.
 
et
😀😀😀
ndio maana wakiambiwa watumane list yao over 20+ flrs wanakimbiana, hawaonani, ati ''we anza'', ''hapana mi naogopa, anza wewe kwanza'' 😀😀😀
Aye!!! I give up!!!
Ile graph inaonyesha kwenye 20+ flr mmetuzidi kidogo, kwenye zaidi ya 20 tunawazidi kwa mbali sana na kwenye 18flr nakuendelea ndio tumewaacha mbali sana...conclusion Hamna kitu mnatuambia kuhusu nyumba...the day mtafanikiwa na pinaccle utakua huru kuvimba
 
pinaccle nina ugakika itafika 2024 haijaisha,wakati huo sjui dar itakuwa na project gani???
 
pinaccle nina ugakika itafika 2024 haijaisha,wakati huo sjui dar itakuwa na project gani???
Bado wanachimba msingi...itafaa vijana wa sua wKasome mambo ya soil pale...msingi wao huu ni mwka wa nne wanachimba
 
The problem with you guys you hate writen facts when is not on your side...

DAR ipo coast which is very flat Nairobi is on ahigher altitude hence you can't see all the buildings kama Dar ama mombasa...

hayo ni maneno ya mkosaji. naweza kusema nyinyi pia mnapenda vitu vya kwenye karatasi sana kuliko uhalisia. over 20fls hilo lilisha zungumziwa sana humu na mlikuwa mnafeli, kila tukileta zetu nyie mnatuletea hadi concept na under construction.
 
When i remember 10yrs back wakenya walivokua na dharau na matusi dhidi ya tanzania leo siamini wamekua wapole kama maji mtungini ama kweli siku hazigandi😀😀😀😀

Dar ya leo sio ile ya 90s 😛😛😛
 
Hayo ni maoni yako ndugu kama ulikua ukiwaza ile dar ya 90s basi umechelewa sana
In the 19's kenya was almost dead due to Moi, in 2002
Hayo ni maoni yako ndugu kama ulikua ukiwaza ile dar ya 90s basi umechelewa sana
Same here the Kenya of 90's is not thesame..
For your infor in 2002 kenya grew by negative two ifact the gap between Tz and Kenya was 5b, it was projected tz will surpass kenya in less than 5years.. Today the gap is over 20b and keeps widening...Keep dreaming nigga.
 
hii thread wakenya hawachomoki...ni kama super glue, ukigusa lazima unase.

tumehakikisha hampitishi siku bila kuweka porojo zenu hapa ili mtusaidie katika agenda yetu.

kwa hilo tumefanikiwa .
nawahakikishia hii thread ita trend mpaka 2020...mnacheza mziki wetu.
 
Back
Top Bottom