Arnold Amos
Member
- Nov 11, 2014
- 46
- 31
Duuuh, mimi nime compare msanii gani kwenye post? Hebu nitajie jina hata moja la msanii nililotaja? Then nionyeshe wapi nimesema au "nimetaka kuwaambia" as you put it kuwa Kenya Airways inaingiza faida? Mbona mi nam quote mtu kwa alichokisema we unashindwa nini? Tena uki reply comment ya mtu unaiona pale juu kabisa na bado unashidwa fanya connection.Wewe jamaa hamnazo kabisa.Unaongelea hali yahewa, currency na wasanii.wewe hamnazo. Jaribu kuja kivingine.Hivi unataka kutwambia KQ wanaingiza faida??Hata wakenya wanakushangaa.
What I said is Dar es salaam ina good music na sio wasanii as you put it, also nimeaema kuwa KQ ni one among the best Airlines in Africa? Sasa hebu linganisha kaa hapa hapa tu then uniambie kuwa wewe unajua hata kubishana kwa hoja.
#Makubwa_haya.
