Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

In your dreams...uweje tuko na kilometa mingi za barabara kuwaliko?
Hamuwezi kuifikia Tanzania katika kilometer nyingi za barabara, tatizo lenu ni kutotembea nje ya Kenya, pia kutotafuta taarifa. Tanzania ina kilometer nyingi za lami kuliko Kenya, na imeunganisha wananchi wengi kwa maji na umeme kuliko Kenya, kama unabisha tuanze kuleta the most up to date informations.
 
32d00dc1501949b3d90f4b5e85d3011f.jpg
f8c67d1bfead1635e77cae4a8c1943ac.jpg
94e129553c882af1f0ad19cd6fe35045.jpg
dd504cdae0bf90258833e9000e5f6f3d.jpg
Huu mji achana Nao.. ni balaa
 
Hivi kuna faida gani kuwakilisha katika ngazi ya kimataifa wakati nyumbani mamilioni ya wananchi wanakufa kwa njaa?, huo uwakilishi unasaidia je watu kule Kibera wanaokunya katika mifukomya plastic?, au kwenu ni kupata sifa nje ya nchi lakini nyumbani mpo katika nchi za mwisho kwa maisha duni?.
Mnapenda sana kutaja kibera. If you only knew how small of a fraction it is to the rest of Nairobi area! Mnadhani Nairobi is kibera and kibera is Nairobi. poleni sana. Mnajifanya sana mnajua Nairobi ila mnaisoma kwa magazeti na kusikia kwa redio.
 
Are you mentally confused?, all African countries are coming to Tanzania every year to learn on our land policy which is one among the best policies in the continent, you nyang'au are very lucky to be close to Tanzania, instead of coping our land policy as it was recommended by Kenya's Wako report on land reform,you are trying to protect your land policy which gave politicians and few rich people big part of arable land and left majority with nothing, read "This time tomorrow by Ngugi Wathiong'o". Am sure you know nothing about Wako report that's why you are talking nonsense.

Nothing to copy from Tz my friend by Kenya on land matters! You're trying too hard to look as though you're an expert on Kenyan affairs,sorry for your misinformation,it's the Ndung'u Land Report and nothing to do with Wako if you're in any way referring to land reforms in Kenya. In that regard,every Kenyan is conscious of reforms desired and how to go about it. No input needed from your ujamaa example. Let others copy from you if they so desire!
 
If you continue to fight against the truth, be sure to face Adam's Smith hand, the truth is Kenya needed to copy Tanzania land policy yesterday not today, only by doing so, Kenya shall slowly get out of hunger, slums, unemployment and reduce the gap between rich and poor, because through land redistribution Kenya will manage to have inclusive economy.
 
Anajifanya sana anajua maswala ya Kenya huyu kilaza. Niliona ameandika wako land reform nikacheka sana. I just asked him to give me the link to that report nione ni wapi na siku gani wako aliandaa repoti ya land
 
If you continue to fight against the truth, be sure to face Adam's Smith hand, the truth is Kenya needed to copy Tanzania land policy yesterday not today, only by doing so, Kenya shall slowly get out of hunger, slums, unemployment and reduce the gap between rich and poor, because through land redistribution Kenya will manage to have inclusive economy.
The good thing is that we didn't copy it and we'll not copy it even tomorrow.
 
If you continue to fight against the truth, be sure to face Adam's Smith hand, the truth is Kenya needed to copy Tanzania land policy yesterday not today, only by doing so, Kenya shall slowly get out of hunger, slums, unemployment and reduce the gap between rich and poor, because through land redistribution Kenya will manage to have inclusive economy.

Shauri yako na policy za Tz! Kenya's land reforms is way beyond your understanding pal!
 
Hebu leta hiyo link inayosema kila mkenya anaeishi kijijini hana ardhi. Huku hatulease land kutoka kwa serikali. Huenda kuna wachache hawana ardhi kakini 90% ya wakenya wana ardhi, tena sio ya kulease kutoka kwa serikali
Mbona uku vijijini mnakufa na njaa akati kenyatta anexport maua huku mamia ya wototo wa Kenya wanaishi kwa kunywa maziwa ya mbwa
 
Nothing to copy from Tz my friend by Kenya on land matters! You're trying too hard to look as though you're an expert on Kenyan affairs,sorry for your misinformation,it's the Ndung'u Land Report and nothing to do with Wako if you're in any way referring to land reforms in Kenya. In that regard,every Kenyan is conscious of reforms desired and how to go about it. No input needed from your ujamaa example. Let others copy from you if they so desire!
Endeleeni kupigia makofi politician wenu huku nyinyi mkiishi kwa kunywa maziwa ya mbwa
 
Toka tumeanza kuzungumzia matatizo ya njaa na ardhi ya Kenya imenifanya nielewe watoto wakenya wanauwezo mdogo saña wakufikiri

Acha waendelee kushangiria majengo marefu ya NAIROBI, GDP na idadi ya mabilionaya wa Kenya huku maelfu ya wakenya wakiendelea kutaabika kwa njaa na kuishia kunywa naziwa ya mbwa richa ya kupewa misaada rukuki ya chakula lakini wenye pesa na wanasiasa wanagawana

Maboya hawa wataendelea kuwa watumwa katika ardhi yao wenyewe
 
If there's one thing I love about Nairobi is the green environment. Everywhere is green green green! Nasikia hata hizo miti ni wazungu walipanda. Je, huu ni ukweli wabongo?View attachment 689776

Tell them that ecological tourism is a niche market in Kenya due to urban greenery and other trend setting nature conversations. Nairobi is the launching pad for this and already with great choices;

City Park
Uhuru Park
Central Park
Karura Forest
Aga Khan Walk
Jevanjee Garden
Nairobi Arboretum
Nairobi Safari Walk
Nairobi National Park
Michuki Memorial Park
August 7th Memorial Park
 
Toka tumeanza kuzungumzia matatizo ya njaa na ardhi ya Kenya imenifanya nielewe watoto wakenya wanauwezo mdogo saña wakufikiri

Acha waendelee kushangiria majengo marefu ya NAIROBI, GDP na idadi ya mabilionaya wa Kenya huku maelfu ya wakenya wakiendelea kutaabika kwa njaa na kuishia kunywa naziwa ya mbwa richa ya kupewa misaada rukuki ya chakula lakini wenye pesa na wanasiasa wanagawana

Maboya hawa wataendelea kuwa watumwa katika ardhi yao wenyewe
Hiyo ndiyo maana ya "MAN EAT MAN SOCIETY"
 
Back
Top Bottom