Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Once a snitch always a snitch majinga hayo mamtu uwiiii ndugu yangu akizaa na mkenya nakata undugu hakya nani maana ujinga wa haya mamtu ni wa kiwango cha kimataifaa
Hehehe ni watu wa ajabu sana sijui wazungu waliwalogea uchawi wa wapi ni permanent White's slaves
 
Asante kwa kujibu kiroho safi kwamba property taxes mnalipa serikali kila mwaka safi sana hiyo ni kodi ujue Hehehe kodi anachukuaga mwenye nyumba tu Hehehe so serikali ndio mwenye nyumba

Haya naomba uniambie serikali ikitaka eneo lako ipitishe mradi wake wewe kama mwananchi unaweza kukataa? Kuna sheria ya ardhi Kenya inampa mwananchi haki ya kugomea compensation ya Serikali kwenye eneo lake na serikali ikatii?

Naomba jibu moja ndio au hapana sitaki riwaya
Ni mara ngapi nimekuambia hapa kwamba hywezi kuzuia mradi wa serikali kwa shamba lako? Ama ni ubishi ndio unapenda?
 
Hiyo middle income mlopewa na mzungu mnaemramba makalio ????hakuna mtz anaishi maisha mnayoishi kibera ...hivi kwanza nchi yenu c mnakula milo miwili per day!!! Majinga nyieee
Kawaida yenu sana...you believe everything good happening in kenya was done or is being done by the white man. Hata Nairobi mnaamini ilijengwa na wazungu. Peleka ldc syndrome mbali kijana, hatutaki maambukizi
 
Haha uyo ni mjinga Tena..
Furahi sasa wakat chakula huna
A25EB5CC-43DE-4025-90AF-AD7595262DAB.jpeg
 
Ni mara ngapi nimekuambia hapa kwamba hywezi kuzuia mradi wa serikali kwa shamba lako? Ama ni ubishi ndio unapenda?
Hehehe Asante kwa majibu mazuri

Kwahiyo property taxes mnalipa, serikali ikitaka ardhi lazima muachie, sasa huo umiliki unaouongelea ni upi?
 
Wajinga wamefaulu kujitoa LDC ila nyinyi mnaojiita werevu mko kundi moja na kina Somali,Congo,CAR,S.Sudan
Jamani watz katika hii thread tuwe makini tusije tukawa tunabishana na mtu humu kumbe yeye na familia yake wanaishi kwa kunywa maziwa ya mbwa

Au keshapata fursa ya kwenda kuolewa na mwanaume mwenzie marekani(maana nasikia Hii ni dream ya vijana wengi wa vyuo Kenya maana hukuna ajira wala uwezekano wa kujiajiri)
 
Hehehe Asante kwa majibu mazuri

Kwahiyo property taxes mnalipa, serikali ikitaka ardhi lazima muachie, sasa huo umiliki unaouongelea ni upi?
We don't lease land, sisi sio watumwa ndani ya nchi yetu. Land compensation is something that happens everywhere. Just a few years ago, families living near Heathrow airport in London surrendered their land to the government when the airport was being expanded. Soma kidogo ujue maswala ya dunia. The world does not start and end in Tanzania
 
He who leases land and he who owns land nani mpangaji kati ya hao watu wawili? Common sense is not common to some people
Sifa za kuwa mmiliki wa kitu

Kuweza kukiuza kwa mwingine
Kuweza kukitumia kwa Uhuru bila kuomba ruhusa
Kuweza kukopea au kuweka rehani ili kuipata faida
Kuweza kukirithisha kwa umtakaye
Kuweza kukipa utambulisho uutakao
Kuweza kukiita mali yako
Kutambulika na mamlaka kama mali yako


Hizi na nyingine nyingi ni sifa za wamiliki wote wa ardhi Tanzania wana Uhuru ya kufanya yote hayo kwenye ardhi zao.
 
Nani akunywe maziwa ya mbwa wakati kenya is the third biggest producer of milk in Africa? Na asante sana kwa kukubali kwamba mnalease land from your government for 99 years. Himiza wenzako akina Kadoda pia wakubali huu ukweli
ili boya halijaangalia hata documentary za wakenya mwenzao

Mwenye uwezo wa kuatachi ile link ya watoto wa Kenya wanaoishi kwa kunywa maziwa ya mbwa ailete
 
Jamani watz katika hii thread tuwe makini tusije tukawa tunabishana na mtu humu kumbe yeye na familia yake wanaishi kwa kunywa maziwa ya mbwa

Au keshapata fursa ya kwenda kuolewa na mwanaume mwenzie marekani(maana nasikia Hii ni dream ya vijana wengi wa vyuo Kenya maana hukuna ajira wala uwezekano wa kujiajiri)
Feelings peleka mbagala
 
Back
Top Bottom