Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni kweli kabisa aangalie hiyo video jinsi Tanzania ilivyo kua nchi ya kimapinduzi, wananchi wa Tanzania wakiandamana barabarani kulaani Britain na kutaka Zimbabwe iwe huru mara moja, anioneshe video ni wapi wakenya waliandamana kwaajili ya suala la muafrika mwenzao dhidi ya mzungu.

Video ya patriotism ya Tanzania

Video ya patriotism ya Kenya

Wao wanaandamana kutetea mashoga
 
I think almost everyone has a piece of land... Unless amezaliwa mtaani.. Na hajui chimbuko lake.
Maybe kuna Tanzania mbili. The last time I asked, I was told that the government of Tanzania owns all the land in Tanzania which it then leases to its citizens for a period of 99 years. Dear Tanzanians, let me remind you that when you lease something, it doesn't belong to you. Hiyo ni mali ya serikali yenu, si yako!
 
upload_2018-2-3_8-58-58.png

Ndio kazi inaanza tu. Wakenya mtakimbia. Bado maeneo kibao yanasemekana kuwa na mafuta.
 
Maybe kuna Tanzania mbili. The last time I asked, I was told that the government of Tanzania owns all the land in Tanzania which it then leases to its citizens for a period of 99 years. Dear Tanzanians, let me remind you that when you lease something, it doesn't belong to you. Hiyo ni mali ya serikali yenu, si yako!
kumbe ni mali ya serikali, nilidhani unasema ni mali ya familia ya uhuru kenyatta.
 
Haha story book utaandikia mpenzi wako....why is Tanzania still an LDC???
Hehehe you have remained with ldc, kila hoja inapewa power na ldc yaani unafurahisha kwamba mzungu akiamka kesho vizuri akatangazia umma kuanzia leo naiondoa Tanzania kwenye ldc basi utakosa hoja?

Sisi hatuumizwi na hiyo ldc yako na kama unafikiri kwa kusema hivyo tunaumia sana, ndugu pole yako

Sisi tuna chakula cha kumwaga mpaka kulisha nchi jirani, rasilimali kedekede, ardhi yenye rutuba kwa kila mwananchi, maji safi na salama, ulinzi na usalama, uchumi 5 bora kwa ukuaji duniani na mengine kibao ambayo hamna.

Hiyo ldc yako you should keep for yourself
 
Wakihiitaji watairipia fidia ni sawa tu huko kwani nyinyi serikari ikihitaji ardhi kwaajiri ya miradi haichukui kwa kufidia
Fidia ni kitu inafanyika hata huku kenya...huwezi kuzuia mradi wa serikali kwa shamba lako. Tofauti ya kenya na Tanzania ni kwamba kwenu serikali inamiliki ardhi yote kwa hivyo hakuna mtanzania anaweza sema anamiliki ardhi. mnachifanya ni kwamba mnalease ardhi kutoka kwa serikali ambayo ndio mmiliki wa ardhi. In kenya, we own land 100%.We don't lease it from the government whatsoever. Sasa kati ya mtanzania na mkenya, nani hana ardhi?
 
Maybe kuna Tanzania mbili. The last time I asked, I was told that the government of Tanzania owns all the land in Tanzania which it then leases to its citizens for a period of 99 years. Dear Tanzanians, let me remind you that when you lease something, it doesn't belong to you. Hiyo ni mali ya serikali yenu, si yako!

so ulivyoambiwa inamilikiwa na serikali ulielewaje labda!!!!

nikuongeze lingine hata ukizaa mtoto tz ni mali ya serikali,jinyonge kwa kuchanganyikiwa sasa.
 
Hehehe you have remained with ldc, kila hoja inapewa power na ldc yaani unafurahisha kwamba mzungu akiamka kesho vizuri akatangazia umma kuanzia leo naiondoa Tanzania kwenye ldc basi utakosa hoja?

Sisi hatuumizwi na hiyo ldc yako na kama unafikiri kwa kusema hivyo tunaumia sana, ndugu pole yako

Sisi tuna chakula cha kumwaga mpaka kulisha nchi jirani, rasilimali kedekede, ardhi yenye rutuba kwa kila mwananchi, maji safi na salama, ulinzi na usalama, uchumi 5 bora kwa ukuaji duniani na mengine kibao ambayo hamna.

Hiyo ldc yako you should keep for yourself
Story mingi ya nini? Why is Tanzania still an LDC?
 
Wao wanaandamana kutetea mashoga
Ndivyo walivyo hiyo video inaonesha wakenya waliandamana kumpinga trump Hehehe yale maamdamano ya wanawake wa kimarekani kumpinga trump nao wakenya waliungana nao najaribu kutafuta connection kati ya marekani na Kenya sioni.

Juzi trump amesema nchi za Afrika ni shithole, African Union wakaungana wote kulaani hiyo kauli, Kenya pekee ndio imemtetea trump na kumuunga mkono tena official state statement hapo unaweza kuona ni namna gani wakenya walivyowatumwa kwa wazungu mpaka kesho.
 
Tofauti ya kenya na Tanzania ni kwamba kwenu serikali inamiliki ardhi yote kwa hivyo hakuna mtanzania anaweza sema anamiliki ardhi?
last year nilitumia hati ya shamba langu kama dhamana ya kuchukulia mkopo bank na nilifanikiwa kuchukua mkopo.

sasa kama ardhi si mali yangu ni mali ya government, ilikuwaje bank ikaniamini na kunipa mkopo wa mamilioni?.

ukijibu kwa emotions nitajua wewe ni kilaza.
 
kumbe ni mali ya serikali, nilidhani unasema ni mali ya familia ya uhuru kenyatta.
You sound bitter for no good reason. Land policies in Kenya and tanzania are like heaven and earth. Uhuru kenyatta as a citizen of this country owns land just the same I also own land as a citizen of this country.Uhuru kenyatta and I don't lease land from the government. We OWN our respect pieces of land and the government has no say over our respective pieces of land. In tanzania the keyword here is LEASE. Hakuna ardhi mtanzania anamiliki, hiyo yote ni mali ya serikali yenu, get that simple fact. Kwa hivyo kutoka leo yafaa ujue hauna ardhi hapo ldc state, sawa?
 
Back
Top Bottom