Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Attachments

  • FB_IMG_15170864621809911.jpg
    FB_IMG_15170864621809911.jpg
    17.5 KB · Views: 44

Hii habari kwamba kuanzia April 2018 nauli za SGR yetu pendwa hapa EA zinaongezeka mara mbili ni kweli?.
 
Kila mtu Tanzania anamiliki ardhi?
Hilo sio a matter of discussion in Tanzania, na hata kama unataka ardhi kuipata sio issue kwa kila namna kuanzia bei na sehemu ya kununua.

Nikuulize swali mkikuyu anaweza kwenda ujaluoni kabisa mle ndani akataka ardhi na akauziwa??

Tanzania kabila lolote linaweza kumiliki ardhi hata iliyokua ya chief wa kabila tofauti na lake na akapokelewa kama ndugu yao na wakampa ardhi tani yake atakayo tena akiamua kukaa nao hapo ndio watakua wanampa kipaumbele kwenye masuala yao yote hapo iwe sherehe au shughuli yoyote lazima ashikirikishwe kikamilifu.

Hiyo ndio Tanzania Nyerere aliyoiacha sisi Tanzania sio kwenye makabila tu hata dini Christmas utakuta wa Islam nao wapo kwenye majumba ya wakristo wanakula kuku Eid nayo wakristo utawakuta kwenye majumba ya wa Islam wanakula pilau kwenye misiba mtu akifa ni kijiji au mtaa mzima tena gharama za msiba wanachangia wanakijiji

au mtaa uliopo wooote bila kujali chochote watu watakula na kusaza siku zote za msiba na mazishi huo mtaa kama msiba ni wa kusafirishwa kwenda kuzikwa kijijini kwao majirani wako lazima wachange nauli waende na matehemu mpaka kijijini kwao huko interior wamzike kisha ndio warudi waendelee na maisha kumbuka hao sio ndugu zako wa kuzaliwa ni watu tu wa mtaani kwako.

Kwenye sherehe kama harusi mtaa wote wanakuchangia pesa za harusi watu wanajimwayamwaya wote kula bata yaani Tanzania ni full kujiachia ndio faida za ujamaa (brotherhood) wote tunashirikiana pamoja kwenye shida na raha kama ndugu.

Hiyo ndio legacy ya Nyerere
 
Mafala Wangari Maathai ana Nobel peace prize
Nelson Mandela pia ana Nobel peace prize
Nyerere ako na nini?...nyerere ni sawa na kina kenyatta, Mugabe etc ni vile alikufa mapema
 
Wakikuyu Wana mashamba mengi Migori, Homabay na Kisumu. Wengi wenu humu hamuijui Kenya hata kidogo. Munaiskia tu kwa hadithi za vijiweni.
 
Mafala Wangari Maathai ana Nobel peace prize
Nelson Mandela pia ana Nobel peace prize
Nyerere ako na nini?...nyerere ni sawa na kina kenyatta, Mugabe etc ni vile alikufa mapema
Noble prize zinatolewa na wazungu hasa kwa wale wenye interests zao unategemea Che Guevara, Mao, Castro, Lumumba, Kwame, etc wapewe tuzo na hao makaburu wakati walikua wakiua maslahi yao?

Inaonesha hujui international politics na hamjui Nyerere alikua wa aina gani, Nyerere alikua akipimana kifua na makaburu wa South Africa mpaka Tanzania ikawekewa vikwazo na South Africa, Namibia, Mozambique, Rhodesia (unajua hata Rhodesia ni nchi gani?) kipindi zipo chini ya colonial rule, sasa usitegemee hawa wazungu wangempenda Nyerere sababu Nyerere alipigana nao na akawashinda hatimae hayo mataifa yakawa huru.
 
mtu kuwa na nobel prize ndio kigezo cha kuwa mashuhuri?. mbona unakuwa na mitazamo ya kijinga?.

nikuulize, unawafahamu watu wote duniani wenye hiyo prize.

umashuhuri wa nyerere ni wa kipekee, hauhitaji kuwa boosted na nobel prize.

umashuhuri wake ni mara mbili ya umashuhuri wa mzee jomo kenyatta, mandela na huyo bibi kezee wenyu.

there was a time, the catholic church was in the process of declaring nyerere a saint.

71fe315a1c7c25b41c1b17d11278e1b4.jpg
 
Noble prize zinatolewa na wazungu hasa kwa wale wenye interests zao unategemea Che Guevara, Mao, Castro, Lumumba, Kwame, etc wapewe tuzo na hao makaburu wakati walikua wakiua maslahi yao?

Inaonesha hujui international politics na hamjui Nyerere alikua wa aina gani, Nyerere alikua akipimana kifua na makaburu wa South Africa mpaka Tanzania ikawekewa vikwazo na South Africa, Namibia, Mozambique, Rhodesia (unajua hata Rhodesia ni nchi gani?) kipindi zipo chini ya colonial rule, sasa usitegemee hawa wazungu wangempenda Nyerere sababu Nyerere alipigana nao na akawashinda hatimae hayo mataifa yakawa huru.
naton
next time ukitoa knowledge kama hii kwa wakenya itabidi wakulipe.

madini kama haya kule kwao hayatolewi bure, angelipishwa ksh20000 kwa saa moja.

tatizo la vijana wa kikenya ni elimu. wengi wao elimu yao haijawaondoa katika ujinga.
 
Mafala Wangari Maathai ana Nobel peace prize
Nelson Mandela pia ana Nobel peace prize
Nyerere ako na nini?...nyerere ni sawa na kina kenyatta, Mugabe etc ni vile alikufa mapema
Ndo mana nawambie kenya bado ipo utumwani zaidi unafananisha mkombozi wa afrika na mtetezi wa haki za wanawake kisa kapewa tuzo na wazungu huvi Kenya shuleni mnafundishwa nini.

Naamini Kenya hata mtetezi wenu wa haki za mashoga akipewa Nobel mtasema ameacha legacy Kenya
 
point ya mwisho imefanya nicheke sana kaka..... dah wewe sio mtu mzuri.
 
Noble prize zinatolewa na wazungu hasa kwa wale wenye interests zao unategemea Che Guevara, Mao, Castro, Lumumba, Kwame, etc wapewe tuzo na hao makaburu wakati walikua wakiua maslahi yao?

Inaonesha hujui international politics na hamjui Nyerere alikua wa aina gani, Nyerere alikua akipimana kifua na makaburu wa South Africa mpaka Tanzania ikawekewa vikwazo na South Africa, Namibia, Mozambique, Rhodesia (unajua hata Rhodesia ni nchi gani?) kipindi zipo chini ya colonial rule, sasa usitegemee hawa wazungu wangempenda Nyerere sababu Nyerere alipigana nao na akawashinda hatimae hayo mataifa yakawa huru.
Umemaliza mkuu.
 
Hilo sio a matter of discussion in Tanzania, na hata kama unataka ardhi kuipata sio issue kwa kila namna kuanzia bei na sehemu ya kununua.

Nikuulize swali mkikuyu anaweza kwenda ujaluoni kabisa mle ndani akataka ardhi na akauziwa??

Tanzania kabila lolote linaweza kumiliki ardhi hata iliyokua ya chief wa kabila tofauti na lake na akapokelewa kama ndugu yao na wakampa ardhi tani yake atakayo tena akiamua kukaa nao hapo ndio watakua wanampa kipaumbele kwenye masuala yao yote hapo iwe sherehe au shughuli yoyote lazima ashikirikishwe kikamilifu.

Hiyo ndio Tanzania Nyerere aliyoiacha sisi Tanzania sio kwenye makabila tu hata dini Christmas utakuta wa Islam nao wapo kwenye majumba ya wakristo wanakula kuku Eid nayo wakristo utawakuta kwenye majumba ya wa Islam wanakula pilau kwenye misiba mtu akifa ni kijiji au mtaa mzima tena gharama za msiba wanachangia wanakijiji

au mtaa uliopo wooote bila kujali chochote watu watakula na kusaza siku zote za msiba na mazishi huo mtaa kama msiba ni wa kusafirishwa kwenda kuzikwa kijijini kwao majirani wako lazima wachange nauli waende na matehemu mpaka kijijini kwao huko interior wamzike kisha ndio warudi waendelee na maisha kumbuka hao sio ndugu zako wa kuzaliwa ni watu tu wa mtaani kwako.

Kwenye sherehe kama harusi mtaa wote wanakuchangia pesa za harusi watu wanajimwayamwaya wote kula bata yaani Tanzania ni full kujiachia ndio faida za ujamaa (brotherhood) wote tunashirikiana pamoja kwenye shida na raha kama ndugu.

Hiyo ndio legacy ya Nyerere
Ina maana hii kenya hakuna!
 
Mafala Wangari Maathai ana Nobel peace prize
Nelson Mandela pia ana Nobel peace prize
Nyerere ako na nini?...nyerere ni sawa na kina kenyatta, Mugabe etc ni vile alikufa mapema
Pata hiki kibwagizo Nyerere alikua anaikoromea mpaka Britain (sio kwa maneno tu mpaka actions strongly) kwa masuala ambayo hata hayaihusu Tanzania, kwa kifupi Tanzania imetoa billions of dollars kuifanya southern Africa kuwa huru sasa mnavyomfananisha na gardener ni laana mnajitafutia
 
Back
Top Bottom