Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

upper
e7bfa94e02405c518b2f9176fd2af332.jpg
ab7e6e09c951c223168e60025cbd1ccd.jpg
Hiyo prism ndo huwa inanivutia ntakuja Nairobi by 2020 nije kuona live
 
Wabongolala nyinyi ni wa shenzy sana.....kila siku mko hapa kusifia ujinga.....Tell me one thing that Nyerere did to help u get out of poverty
hasira hasara... kisu cha ngariba kimeingia mahala pake.
 
Sisi ni ldc hatukatai lakini tulipota uhuru kila mtu alipewa ardhi na wazungu walinyang'anywa ardhi wanyonge wakapewa sasa nin maana yakudai uhuru huku wakenya huku ardhi ambayo ni msingi wa uzalishaji mali mkawaachia wazungu

Ebu cha mkenya Ngugi wathiong'o kinaweza kikakukomboa tutoka ktk utumwa wa fikra

Ndo ujaribu kua mtz uone urahisi wakumiliki ardhi ambayo ndo msingi wa utajiri
Kila mtu Tanzania anamiliki ardhi?
 
Kila mtu Tanzania anamiliki ardhi?
my grandfather on my mother's side left me and siblings 3000 acres of land in our village.

my grandfather on my father's side, left me and my siblings 2000 acres of land in our village.

so to answer your question, land isn't an issue in tanzania.

the only community in tz that has been facing problems with land are pastoralists mostly masai.

they don't have permanent land ownership due to their tendency of moving from one place to another in search of food and water for their livestock.
 
Mwambie uyo ajue tz ni kama bustani ya edeni
Tanzanian Government owns all land like any socialist country. they lease you some bits and can just as easily cancel that lease on a whim. I don't get what's there to celebrate
 
The fact that unauliza hilo swali linaonyesha you're ignorant. Kabisa hujui mipango ya maendeleo ya nchi yako? Unataka tukuletee hapa?
Mpaka waishe wapinzani wote ndiyo tutaanza kujengaa,,,,,,,,,,, VIWANDA
 
Tanzanian Government owns all land like any socialist country. they lease you some bits and can just as easily cancel that lease on a whim. I don't get what's there to celebrate
Wakihiitaji watairipia fidia ni sawa tu huko kwani nyinyi serikari ikihitaji ardhi kwaajiri ya miradi haichukui kwa kufidia
 
Tanzanian Government owns all land like any socialist country. they lease you some bits and can just as easily cancel that lease on a whim. I don't get what's there to celebrate
Kipi bora kati ya ardhi kumilikiwa na serikali au kumilikiwa na Uhuru kenyatta family
 
Tanzanian Government owns all land like any socialist country. they lease you some bits and can just as easily cancel that lease on a whim. I don't get what's there to celebrate
There are so many things to celebrate, the fact that Uganda oil pipeline shifted to Tanzania because of land ownership policy in Tanzania is more friendly for investments is just a tip of iceberg.
 
You need him dearly, he is the African person of the year 2017, followed by Kagame, unfortunate Uhunye couldn't make even in the top ten, don't forget he has also taken Mandela peace prize 2017
Tell em, Tanzania is going to lead the talk make no mistake.
We are coming to chair
 
Back
Top Bottom