Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndivyo walivyo hiyo video inaonesha wakenya waliandamana kumpinga trump Hehehe yale maamdamano ya wanawake wa kimarekani kumpinga trump nao wakenya waliungana nao najaribu kutafuta connection kati ya marekani na Kenya sioni.

Juzi trump amesema nchi za Afrika ni shithole, African Union wakaungana wote kulaani hiyo kauli, Kenya pekee ndio imemtetea trump na kumuunga mkono tena official state statement hapo unaweza kuona ni namna gani wakenya walivyowatumwa kwa wazungu mpaka kesho.
Once a snitch always a snitch majinga hayo mamtu uwiiii ndugu yangu akizaa na mkenya nakata undugu hakya nani maana ujinga wa haya mamtu ni wa kiwango cha kimataifaa
 
Ati tunamiliki ardhi na wakenya hawamiliki ardhi.....wakati ni kulease mna lease kutoka kwa serikali alafu mnaona ni jambo la kusherekea..mibongo jameni
Hawa mibongo wana argue kutumia hisia sana. Kila time wanatajataja story ya land hapa mimi hua nacheka tu. today I have decided to remind them if one obvious fact that they don't seem to be privy to; they lease land from their government while we own land 100% here in Kenya. Halafu utasikia wanavyopiga kelele hapa eti wakenya hawana ardhi. Hawa ni vilaza kweli. A classic example of Nyani hauni kundule
 
You sound bitter for no good reason. Land policies in Kenya and tanzania are like heaven and earth. Uhuru kenyatta as a citizen of this country owns land just the same I also own land as a citizen of this country.Uhuru kenyatta and I don't lease land from the government. We OWN our respect pieces of land and the government has no say over our respective pieces of land. In tanzania the keyword here is LEASE. Hakuna ardhi mtanzania anamiliki, hiyo yote ni mali ya serikali yenu, get that simple fact. Kwa hivyo kutoka leo yafaa ujue hauna ardhi hapo ldc state, sawa?
Una own land gan wewe hahahahaha... Kenya ndio nchi pekee dunian wananchi wake wanakaa ka wapangaji kwenye nchi yao wenyewe idiots
 
land policies zenyu zinawarudisha nyuma tuseme tu ukweli usiwe mmoja wa wale unashangilia uharo....utalease aje land kwa nchi yako?
Usiwe mjinga kama unalipwa walikihitaji kwa gharama Za kipindi chako na kukupatia fursa ya kujiendeleza pengine tatizo liko wapi?Yaani kanyumba kako2k dola $30k ndio izuie barabara isipite??wake up na uache ujinga wako
 
Once a snitch always a snitch majinga hayo mamtu uwiiii ndugu yangu akizaa na mkenya nakata undugu hakya nani maana ujinga wa haya mamtu ni wa kiwango cha kimataifaa
Wajinga wamefaulu kujitoa LDC ila nyinyi mnaojiita werevu mko kundi moja na kina Somali,Congo,CAR,S.Sudan
 
Hehehe unachekesha kwani nyie hamlipi property taxes huko Kenya.?

Mimi nafikiri ardhi ni mali yenu moja kwa moja no property taxes, no forced compensation kuna mkenya ambae anaweza kukomaa hakuna kupokea fidia kama sitaki eneo langu lichukuliwe na serikali na mahakama ikamkingia kifua??

Sasa kama serikali ikitaka eneo lako inalichukua tu hata uende mahakamani huo umiliki wako ni upi?
Land rates ziko hatu huku Kenya, tena ni hatia kukosa kulipa land rates. Ninachosema ni kwamba sisi we DON'T lease land from the government like you do there in bongolala. Got it now?
 
Ulipewa mkopo because that's government property. The bank knew that with the land belonging to the government, their investment were in safe hands. Hamna ardhi Tanzania kijana, hiyo ardhi unataja taja hapa ni mali ya serukali. Yafaa mkubali vitu zingine. You don't have to be perfect in everything. In matters land, ujamaa made you slaves in your own country. Kubali tu yaishe
And capitalism made you kunyans maskini na wapangaji kwenye nchi yenu wenyewe
 
Kuishi kwakunywa maziwa yaumbwa na kumiliki ardhi kwa miaka 99 kipi bora
Nani akunywe maziwa ya mbwa wakati kenya is the third biggest producer of milk in Africa? Na asante sana kwa kukubali kwamba mnalease land from your government for 99 years. Himiza wenzako akina Kadoda pia wakubali huu ukweli
 
land policies zenyu zinawarudisha nyuma tuseme tu ukweli usiwe mmoja wa wale unashangilia uharo....utalease aje land kwa nchi yako?
Hatulease land tz au hujui maana ya serikali .???serikali ni watu na ardh inamilikiwa na watu idiot
 
Land rates ziko hatu huku Kenya, tena ni hatia kukosa kulipa land rates. Ninachosema ni kwamba sisi we DON'T lease land from the government like you do there in bongolala. Got it now?
Asante kwa kujibu kiroho safi kwamba property taxes mnalipa serikali kila mwaka safi sana hiyo ni kodi ujue Hehehe kodi anachukuaga mwenye nyumba tu Hehehe so serikali ndio mwenye nyumba

Haya naomba uniambie serikali ikitaka eneo lako ipitishe mradi wake wewe kama mwananchi unaweza kukataa? Kuna sheria ya ardhi Kenya inampa mwananchi haki ya kugomea compensation ya Serikali kwenye eneo lake na serikali ikatii?

Naomba jibu moja ndio au hapana sitaki riwaya
 
Ati tunamiliki ardhi na wakenya hawamiliki ardhi.....wakati ni kulease mna lease kutoka kwa serikali alafu mnaona ni jambo la kusherekea..mibongo jameni
Achilia mbali ardhi iliochikuliwa na settlers
489A35D3-62E2-4244-A519-94BAF7A536A8.jpeg
 
Wajinga wamefaulu kujitoa LDC ila nyinyi mnaojiita werevu mko kundi moja na kina Somali,Congo,CAR,S.Sudan
Hiyo middle income mlopewa na mzungu mnaemramba makalio ????hakuna mtz anaishi maisha mnayoishi kibera ...hivi kwanza nchi yenu c mnakula milo miwili per day!!! Majinga nyieee
 
land policies zenyu zinawarudisha nyuma tuseme tu ukweli usiwe mmoja wa wale unashangilia uharo....utalease aje land kwa nchi yako?
Hawa ni watumwa ndani ya nchi yao. Then they have the audacity to talk about how Kenyans are landless! Kweli nyani haoni kundule
 
Back
Top Bottom