Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wacha hasira bana😀😀😀😀
Achana na hawa bongolala. character assassination is what they know best. Every time one of their own talks anything negative about Tanzania, he is labeled kenyan and receives all manners at attack
 
Niletee link ya hiyo data kutoka kwa world bank site. Usilete site yotote apart from world bank kwa sababu umesema wao ndio walitoa report
dont even bother bro....he will tell you Kenya GDP is 55B😀😀😀😀...I have had that debate with the guy before...
 
Niletee mkuu,kuliza sio kuwa niko "ignorant" labda hiyo mipango ni ya siri au hakuna sehemu amabyo wananchi wa kawaida kama mimi tunawezakuiona kirahisi

waswahili wanasema "Kuuliza sio ujinga",mjinga ni yule asiejibu kile anachoulizwa😉
Igoogle ata saiv mbona ipo online. Tatizo la nchi hii sio kutokuwa na mipango mipango ipo ila utekelezwaji ni duni.
 
Eti we can't beat them huko kibera na mathare ulifika ndio ukaona hatutowaweza? Wewe ni nyumbu wa chadema hakuna asiekujua kupinga kila kitu MAGUFULI anachokifanya mwishoni unapinga mpaka nchi unayoishi Eti ndio upinzani kupinga kila kitu pumbavu kabisa nusu kaputi
 
Acha dharau hawa majamaa yanadharau Burundi siyo unayoiona al jazeera and other mainstream media brother
Tunawadharau kwa sababu licha ya nyinyi kuwa na rasilimali kadhaa bado mko ldc. Tutazidi kuwadharau hata zaidi hadi ile siku mtafungua macho kutumia rasilimani zenu kujenga nchi yenu itoke kwenye Ile list ya aibu
 
maumivu yakizidi...muone daktari....jamaa mswahili ushaanza kumsingizia😀😀😀
Hao ni nyumbu walikua wakimuunga mkono Uhuru wale nyumbu pale harambee house hawa ndio baba na mama zao huku Tanzania kwa akili zao finyu wanafikiri kwa kufanya hivyo ndio MAGUFULI anarudi nyuma hehehe lazima walimie meno mwaka huu
 
Moja katika kitu ambacho watashidwa kwenda mbele au kinaturudisha Tanzania nyuma kimaendeleo ni kuwa kila kitu tunaweka siasa...

Wanasiasa wamewazeza kuwateka watanzania wengi akili zao kiasi ambacho mtanzania wa kawaida hasa wale watanzania wa hali ya chini,hawawezi kufikiri chochote bila ya kuweka siasa..

Mkuu nikuulize kwani kama Daresalam itaendelea atakaenufaika CHADEMA Pekee yake au CCM peke yake,hapana watakao nufaika ni watanzania wote,wakaazi wa Daresalam

Mkuu,mimi sio mpenzi wa chama chochote cha kisiasa,chama chagu kikubwa ni chama cha kutafuta pesa ile nipate kulisha familia yangu

Kura nyangu nampigia yoyote yute ambae naona kwa wakati ule ana sera nzuri itayonitoa katika umasikini,yule mwenye sera yenye manufaa na mimi...

Hata huyo Magufuli kuna mambo nakubaliana nae na kuna mambo sikubaliani nae..

"I am the king of my destiny",,,😛,
 
Hehehe wewe kule siasani huwa unamwaga matusi kwa JPM utafikiri umehongwa na mbowe alafu hapa unasema nini? Chadema Tatizo akili hamna dj anawaendesha kama alivyokua anaendesha waiters wa billcanas
 
Hehehe wewe kule siasani huwa unamwaga matusi kwa JPM utafikiri umehongwa na mbowe alafu hapa unasema nini? Chadema Tatizo akili hamna dj anawaendesha kama alivyokua anaendesha waiters wa billcanas
Kaka sijawahi kukisifu chama chochote cha siasa,kwanza nafikiri wanasiasa wote matapeli...,niombe radhi umenitukana rusi kubwa sana kaka😡
 
WTF? have you ever been in Mbeya or Kagera
Sikatai manyang'au wanakata sana miti but kuna part ya nchi raia wanajielewa kuhusu kuwa na mazingira green
Ni mwenzenu ndio alisema tukake miti tujenga vyumba tulipoleta picha kuonyesha jinsi Nairobi ilivyojaa miti. Hata akaita Nairobi msitu. Si maneno yangu ila ni ya mtanzania mwenzako
 
Igoogle ata saiv mbona ipo online. Tatizo la nchi hii sio kutokuwa na mipango mipango ipo ila utekelezwaji ni duni.
Mkuu sio watanzania wengi wenye uelewa wa ku-google,kama mipango umfichwa,basi mipango hiyo ni utapeli huo,kama mipango haitekelezwi ujue hamna mipango hapo kuna ubabaishaji...,tafakari
 
you can notice how ignorant he is...he is not well informed about the plan of his country. lets ignore him.
"Well informed",those are are nice words.....,but who is to be blamed

I guess I am not the only one that not informed about the development plan of Tanzania,There is millions of Tanzanians who don't real know what is going on this country,that shame isn't,we need Transparency!!!

Why secret Mkuu kwasababu hamna chochote kinachofanyika kila kitu ni ahadi hewa....,next time jibu kwa kiswahili ili wasahili tupate kukufahamu,.....Comprende
 
mtz anaenda kenya kufanya utalii. [emoji23] [emoji23]
Yap,na wewe fanya utalii wa ndani Mkuu,nilitoka na meli,kutoka Dar,nikapita Zanzibar meli hiyo hiyo ikanipeleka mpaka Mombasa..😎
 
Tutaelewana tu Taratibu taratibu.
Hayo ndio mambo ya High-value low-density (HVLD) tourist destination.


High-value visitors are typically unaffected by turbulence in the global economy. During the 2008–09 recession, tourist numbers plummeted across the globe, yet tourist numbers in Tanzania were largely unaffected


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…