Usinifundishe kazi kijana,sera yako ya kizuri kitaftie kasoro imekosa nafasi apa...lol......hebu weka kama aerial view......ni nini mnaficha isionekane.....
What about uvundo? Hiyo pia ni natural?Joto ni natural kama unataka baridi nenda urusi
Mabati Rolling Mills Athi river....
machakos county
![]()
![]()
![]()

This is before outering upgradeAeriel view of Donholm estate in eastlands
![]()
Imagine that is just eastlands, a middle income area. In Dar, nyumba kama hizo zinapatikana mbezi beachshaba village in eastlands
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Uvundo upo kwa shangazi yako budaWhat about uvundo? Hiyo pia ni natural?
Huu mzigo ukiisha ntaupost kila siku hadi walie...Nimepiga sasa hivi. PPF HQ tower 28/01/2018
![]()
![]()
![]()
![]()
Hawa bakhora mbona tushawachapaHuu mzigo ukiisha ntaupost kila siku hadi walie...
Hahahha.Kila mtu na kwake apo sio huo Ufala wa kupanga vibanda vya wanaume wenzenu
![]()
Ndio umeshaona sasa,ulaya pia hawana vitu kama korogocho buda jiepushe na mishangao ya kifalaHahahha.
cities zote za maana nimetembelea hadi ulaya,sijapatana na hiki KIKITU
Hizi njemba zinazotokea kibera kwa Bwana yule mvuta sigara zinadhani Tiz ni ya 90.Naona Bwana yule kazindua reli yake akiwa mwenyewe wale wenzake wako wapiiiii @M7 @kgme

Naona umekubali kwamba Tiz ni mashineHahahha.
cities zote za maana nimetembelea hadi ulaya,sijapatana na hiki KIKITU
wakenya wenzako wanashindwaje kuadmit wsfufundishe