Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

uwanja umechukua 32b tsh na hauwez kutumika afcon sasa walifanya marekebishio ya nini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»


View: https://www.instagram.com/reel/DfU_3yuoHob/?rpxt=MTQ4N3AzdGkwYmRrYw==

Yaani awamu hii IBA KWA UREFU WA KAMBA YAKO. Ni upigaji tu kwa kwenda mbele. Ule mwingine gharama imetumika 85% juu ya bei halisi.
 
Wewe unaweza kuchukua hatua kwenye ripoti inayokutuhumu wewe?
mm nikitajwa kwenye report ya shtuma naachia ngazi mzee kama alivofanya waziri wa usafirishaji wa spain baada ile ajali ya treni kuua watu 63 kaachia ofisi simple and clear
 
Unafikiri yale majumba kule Masaki,Upanga,Kariakoo,Goba,Mbweni yaani Tanzania nzima zinajengwa kwa hela gani?
aiseeee πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»
 
Yaani awamu hii IBA KWA UREFU WA KAMBA YAKO. Ni upigaji tu kwa kwenda mbele. Ule mwingine gharama imetumika 85% juu ya bei halisi.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»
 
Modern Army - TPDF

1793858425759.png
 
It seems corruption is very rampant in Tanzania more than we thought?πŸ˜‚πŸ˜‚.

Hizi ni vitu Sisi Wakenya hatungejua because we don't really dig deep into what's happening in Tanzania.
Kwenu pia kuna skendo za uwanja wa Talanta ila huwezi kuzungumzia, angalau Ichoboy anazungmzia skendo za ufisadi viwanja vya Tanzania.

View: https://x.com/_briankorir/status/2117133918214205498
Nimeona pia ujumbe wenu kutoka WB kuhsuu SGR.

View: https://x.com/ntvkenya/status/2118054136004698295
 
Back
Top Bottom